
policy forum
@policy_f
A Tanzanian network of civil society organizations working to influence policy processes that improve the lives of people.
ID: 605219511
http://www.policyforum-tz.org 11-06-2012 05:25:15
8,8K Tweet
23,23K Followers
1,1K Following





The #RaiaMakini Project is more than just a campaign, it’s a dynamic movement igniting inclusive governance, awakening civic consciousness, and mobilizing collective power for a more accountable Tanzania. Good cordination from both Wajibu_Institute and policy forum

Mradi wa #RaiaMakini ni wa wananchi. Ni jukwaa la mabadiliko chanya katika usimamizi wa rasilimali za umma kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Kwa ushirikiano wa AZAKI,Serikali, Media na Wananchi, tunaweza kuleta mageuzi yenye tija na usawa nchini. policy forum Wajibu_Institute


Fedha za Umma hazina Political Ideologue ~ Mzee Rudovic Utto Wajibu_Institute #RaiaMakini

WAJIBU na Policy Forum imefanya kikao kazi cha kwanza na wadau wa Mradi wa #RaiaMakini unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya. Kupitia kikao kazi wadau wameweza kupata taarifa za ripoti ya tathmini ya awali kama sehemu muhimu ya utekelezaji wa mradi. Wajibu_Institute EU in Tanzania


FCPA Utouh akielezea jina rahisi litakalotumika kwenye mradi uliofadhiliwa na EU in Tanzania Wajibu_Institute


Mkurugenzi Mtendaji wa Policy Forum akizungumza wakati wa kikao kazi cha pamoja na wadau wa uwajibikaji Jijini Dodoma leo. #RaiaMakini Wajibu_Institute EU in Tanzania


Wadau wa Uwajibikaji wakati wa Kikao Kazi cha mradi wa #RaiaMakini Jijini Dodoma. EU in Tanzania Wajibu_Institute





