Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile
Pemba Press Club

@ppctz

Pemba Press Club (PPC) was established in 2002 and registered under society Act. 6 of 1995 registered in January 2002 with registration number 210.

ID: 1275380161077182465

linkhttp://www.pembapress.club calendar_today23-06-2020 10:48:40

2,2K Tweet

242 Followers

441 Following

Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar afungua Ofisi ya Elimu na Mafunzo ya Amali Wilaya ya Wete . SOMA ZAIDI...... pembapress.club/portal/2023/12…

WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar afungua Ofisi ya Elimu na Mafunzo ya Amali Wilaya ya Wete .
SOMA ZAIDI...... pembapress.club/portal/2023/12…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

Profesa Mnyaa azindua Ofisi za Kikosi cha KMKM na Chuo Cha Mafunzo Wete. SOMA ZAIDI........ pembapress.club/portal/2024/01…

Profesa Mnyaa azindua Ofisi za Kikosi cha KMKM na Chuo Cha Mafunzo Wete.
SOMA ZAIDI........ pembapress.club/portal/2024/01…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt Mwinyi aweka Jiwe la Msingi skuli ya sekondari Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni. SOMA ZAIDI..... pembapress.club/portal/2024/01…

Rais Dkt Mwinyi aweka Jiwe la Msingi skuli ya sekondari Maziwang’ombe Wilaya ya Micheweni.
SOMA ZAIDI..... pembapress.club/portal/2024/01…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuya aweka jiwe la Msingi bustani ya wananchi Mwanamashungi Chake Chake. SOMA ZAIDI........ pembapress.club/portal/2024/01…

Waziri Mkuya aweka  jiwe la Msingi bustani ya wananchi Mwanamashungi Chake Chake.
SOMA ZAIDI........ pembapress.club/portal/2024/01…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

Kilio cha upatikanaji wa maji safi na salama bweni la skuli ya Madungu Sekondari chamaliza. SOMA ZAIDI..... pembapress.club/portal/2024/01…

Kilio cha upatikanaji wa maji safi na salama bweni la skuli ya Madungu Sekondari chamaliza.
SOMA ZAIDI..... 
pembapress.club/portal/2024/01…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa maendeleo ya vijana wapitia sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2023 SOMA ZAIDI....... pembapress.club/portal/2024/01…

Wadau wa maendeleo ya vijana wapitia sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2023
SOMA ZAIDI....... pembapress.club/portal/2024/01…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

ZIC Yazindua Mpango wa Mabadiliko ili Kuchochea Utoaji Huduma kwa Wateja SOMA ZAIDI....... pembapress.club/portal/2024/01…

ZIC Yazindua Mpango wa Mabadiliko ili Kuchochea Utoaji Huduma kwa Wateja
SOMA ZAIDI....... pembapress.club/portal/2024/01…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

DC Micheweni awataka akinamama kutumia uzazi wa mpango kuimarisha afya zao, watoto SOMA ZAIDI....... pembapress.club/portal/2024/02…

DC Micheweni awataka akinamama kutumia uzazi wa mpango kuimarisha afya zao, watoto
SOMA ZAIDI....... pembapress.club/portal/2024/02…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

Uzinduzi wa #SautiZaWaandishi Wasemavyo waandishi kuhusu tasnia ya habari, mambo mengi yameibuka ikiwemo masuala ya ulinzi na usalama kwa waandishi 1. Nusu (50%) ya waandishi wa habari wanaripoti kuwahi kutishiwa, kuteswa, au kushambuliwa katika kazi zao.

“Tumieni kalamu zenu kutetea sheria ya habari zenye mapungufu” Shifaa Said SOMA ZAIDI........... pembapress.club/portal/2024/03…

“Tumieni kalamu zenu kutetea sheria ya habari zenye mapungufu” Shifaa Said 
SOMA ZAIDI........... pembapress.club/portal/2024/03…

Benki ya Exim Yaunga Mkono Jitihada za Rais Mwinyi, Wadau Kuchochea Kasi ya Utalii Zanzibar. SOMA ZAIDI.......... pembapress.club/portal/2024/03…

Benki ya Exim Yaunga Mkono Jitihada za Rais Mwinyi, Wadau Kuchochea Kasi ya Utalii Zanzibar.
SOMA ZAIDI.......... pembapress.club/portal/2024/03…
Pemba Press Club (@ppctz) 's Twitter Profile Photo

MABADILIKO TABINCHI NI AJENDA YA KIDUNIA-RC MATTAR SOMA ZAIDI..... pembapress.club/portal/2024/05… pic.x.com/gPj0u8Md7I