Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile
Radio Ashe

@radio_ashe

Radio Ashe is a Christian station broadcasting from Maralal, Samburu County that seeks to transform communities into Christ likeness, through Biblical Teaching

ID: 1271800827431333889

linkhttp://www.radioashe.org calendar_today13-06-2020 13:45:39

44,44K Tweet

1,1K Followers

158 Following

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Ni wakati wa kumsifu Bwana kwenye #ShehenalaBaraka na Rachel Omotto , Unajiunga nami ukiwa wapi?Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Bwana Yesu Asifiwe! Karibu tuanze siku kwa baraka kwente mpango mzima #AsheBreakfast na Emmanuel Matano Radio Ashe , Unasikiliza ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Bwana Yesu Asifiwe! Karibu tuanze siku kwa baraka kwente mpango mzima #AsheBreakfast na Emmanuel Matano   Radio Ashe , Unasikiliza ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Mjadala Hilary( Iten) Kabla NACADA wabuni sheria mpya ya kukabiliana na ulevi, wajiulize sheria iliyoko imetekelezwa vipi Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Mjadala Baba Gaile( Marsabit) Serikali ilitakiwa kuongeza ushuru wa pombe na bei yake iwe juu ili kuhakikisha kuwa wakenya wengi wanakosa kumudu gharama ya pombe Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Mjadala Raphael( Westpokot) Ni muhimu kuweka sheria ili kudhibiti unywaji wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya na wanaoathirika ni vijana wetu Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Mjadala Lenyakopiro( Samburu) Mimi ningeulizwa ningesema hiyo miaka ya mtu kuruhusiwa kunywa pombe iongezwa kutoka miaka 18 hadi miaka 30. Pombe haifai kuuzwa katika sehemu za makaazi na karibu na shule Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Mjadala Korie( Marsabit) Nafikiri kando na kuweka sheria ni vizuri wazazi wawashauri watoto wao kuhusu madhara ya dawa za kulevya na pia wawe role model kwa watoto wao Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Ni wakati wa kumwabudu Bwana kwenye mpango bab'kubwa #AsheBreakfast na Emmanuel Matano ndani ya Radio Ashe , Unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

Bwana Yesu Asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Ni wakati wa kumwabudu Bwana kwenye mpango bab'kubwa #AsheBreakfast na Emmanuel Matano  ndani ya Radio Ashe  , Unatune in ukiwa wapi?
Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Magazetini Maoni yako ni yapi kuhusu habari magazetini? Taarifa kuu: Ofisi ya mkaguzi wa hesabu yafichua ufisadi wa bilioni 3.7 kwa shule hewa, Watu 1500 wakamatwa kufuatia vurugu za maandamano ya 77, Maafisa wa polisi walaumiwa kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi.

#Magazetini
Maoni yako ni yapi kuhusu habari magazetini?
Taarifa kuu: Ofisi ya mkaguzi wa hesabu yafichua ufisadi wa bilioni 3.7 kwa shule hewa, Watu 1500 wakamatwa kufuatia vurugu za maandamano ya 77, Maafisa wa polisi walaumiwa kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi.
Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Magazetini Hilary(Iten) Hakuna uzalendo humu nchini na watu wamekuwa wabinafsi. Uchunguzi ufanyike na wale waliohusika kwenye ufujaji wa fedha za elimu Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Magazetini Baba Gaile( Moyale) Mkaguzi wa hesabu za serikali ashafanya kazi yake, je ni hatua zipi zitachukuliwa dhidi ya wale waliohusika kwenye ufisadi katika wizara ya elimu Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Magazetini lkimaniki( Samburu) Ufisadi umekuwa ugonjwa mbaya sana katika taifa la Kenya. Napendekeza hukumu ya kifo kwa wafisadi humu nchini. Hiyo itakomesha ufisadi Emmanuel Matano Radio Ashe Rachel Omotto

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Magazetini Korie( Ileret) Kila kitu cha serikali kina process na kwahivyo inajulikana ni kina nani walihusika kwenye huo ufisadi wa fedha za elimu. Sasa hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika Emmanuel Matano Radio Ashe Rachel Omotto #AsheBreakfast

Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

#Magazetini Lesuper( Samburu) Hapa nchini Kenya wafisadi wameiba mamilioni ya pesa na hawajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisheria. Sisi wananchi tunafanya makosa kwasababu tunawachagua wafisadi kuwa viongozi Emmanuel Matano Radio Ashe Rachel Omotto #AsheBreakfast