"I say this to President Castro in Cuba,i said look you make Progress in Educating young people,every child in Cuba getting basic Education thats a huge Improvement from where i was,Medical care the life Expectance is equivalent to United states despite of being Poor🤔
"Unadanganya" Majirani zangu Nchini Cuba wakituhumu kwa ungo nilipo waambia Amerika kuna watu wanakufa kwa njaa, na kwabaridi wanalala nje, wanashindwa amini, inawezajetokea kwenye nchi tajiri kama Amerika? "_ Assata Shakur
#tokakitabuni
Furaha ni zao la Utu,Haki na Uhuru, tunafurahi vipi wakati watu tunaowanunulia Rungu, Kombati na Mabuti ndiyo wanavitumia kutuumizia ndugu zetu tena hadharani,ili tu wafurahishe Wanasiasa.
Alichokisema leo Mh; Jaji Robert Makaramba nlikisema siku 4, zilizopita iko Siku hawa Polisi watapiga Majaji na Mahakimu, Mahakama ikemee hayo mazoea mapema huwezi piga Afisa wa Mahakama kiholela vile.
I am the most hated girl because i am refusing to advocating for killing of people who look like me. I love black people regardless of their geographical location or where they come from.
Black people we are one
Uchumi wa Kibepari umefaulu kwa kiwango kikubwa sana kufeli ktk nchi zinazoitwa kisiasa dunia ya 3, sababu zote zimekamilika za kufaulu huko katika Kufeli.
“We need to be weapons of mass construction, weapons of mass love.
It’s not enough
just to change the system.
We need to change ourselves.”
- Assata Shakur
How are we changing ourselves in the process?
🫂
Rest in divine peace, Assata Shakur
💐🪷🙏🏽🪷💐
Unadanganya" Majirani zangu Nchini Cuba wakinituhumu kwa ungo nilipo waambia Amerika kuna watu wanakufa kwa njaa, na kwabaridi wanalala nje, wanashindwa amini, inawezajetokea kwenye nchi tajiri kama Amerika? "_ Assata Shakur
#tokakitabuni #assata
#VIDEO Hivi ndivyo zaidi ya waandamanaji 100,000 wanaounga mkono Palestina walivyojaa mitaa ya Berlin jana Septemba 27, wakilaani uungaji mkono wa Ujerumani kwa vita vinavyoendelea vya Israel dhidi ya Gaza na kutaka kusitishwa mara moja kwa mauzo ya silaha na kuungwa mkono na
Hey Elon MuskSupport please reinstate human rights defender @sativa255’s account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech