Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc

@ridhiwankikwete

Minister of State, Prime Minister’s Office (Labour, Youth, Employment and Persons with Disability) | Tanzania Member of Parliament (Chalinze Constituency)

ID: 263201896

linkhttps://www.parliament.go.tz/index.php/administrations/330 calendar_today09-03-2011 16:00:33

23,23K Tweet

295,295K Followers

55 Following

Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya Hotuba yangu Siku ya Wafanyakazi Duniani-Singida,Tanzania. Nikiongea mbele ya umma wa Wafanyakazi waliojaa kwenye uwanja wa Bombadier , katika manispaa ya Singida nimemshukuru Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa miongozo yake na mazingira aliyoyawezesha kwa

Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimetembelewa na ugeni wa Watendaji wa Benki ya NMB wakiongozwa na Bi. Vicky Bishubo, Meneja mahusiano Benki na Serikali waliokuja kujitambulisha na kunitambulisha bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo. Katika kikao hicho niliwakaribisha ofisini kwetu na kuwatambulisha

Nimetembelewa na ugeni wa Watendaji wa Benki ya NMB wakiongozwa na Bi. Vicky Bishubo, Meneja mahusiano Benki na Serikali waliokuja kujitambulisha na kunitambulisha bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo.

Katika kikao hicho niliwakaribisha ofisini kwetu na kuwatambulisha
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote walipokuja kunitembea Ofisini kwangu Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Kiwanda hicho Nchini Bwana Adeyemi Fajobi. Katika mazungumzo yetu tumejikita zaidi kuzungumzia maeneo yenye changamoto na utatuzi

Nimefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote walipokuja kunitembea Ofisini kwangu Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Kiwanda hicho Nchini Bwana Adeyemi Fajobi.

Katika mazungumzo yetu tumejikita zaidi kuzungumzia maeneo yenye changamoto na utatuzi
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki kongamano la Wenye Ulemavu lililoandaliwa na Ikupa Trust Fund, lililofanyika katika Ukumbi wa St. Gaspar, Dodoma Juni 09,2025. Kupitia kongamano hilo nimewahakikishia Washiriki utayari wa serikali kushirikiana nao katika nyanja mbali mbali ikiwemo kuwawezesha Watu

WHO African Region (@whoafro) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Prof. Mohamed Janabi, proposed by Tanzania🇹🇿, has been nominated as the next WHO African Region Regional Director during a Special Session of the WHO Regional Committee for Africa, held today in Geneva. Prof. Janabi will be appointed by World Health Organization (WHO) Executive Board, to be held on 28-29

BREAKING: Prof. Mohamed Janabi, proposed by Tanzania🇹🇿, has been nominated as the next WHO African Region Regional Director during a Special Session of the WHO Regional Committee for Africa, held today in Geneva.

Prof. Janabi will be appointed by World Health Organization (WHO) Executive Board, to be held on 28-29
Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi WHO African Region. Ni ushindi wa Rais Samia Suluhu na Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba

Hongera sana Prof. Mohamed Janabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi WHO African Region. Ni ushindi wa Rais Samia Suluhu na  Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China , Balozi Chen Mingjian na Ujumbe wake Ofisini Kwangu Dodoma. Mkutano wetu ulilenga kujadili mambo mengi ya ushirikiano baina ya nchi yetu hasa katika maeneo ya Ukuzaji ujuzi, maendeleo na mabadilko ya

Nimekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China , Balozi Chen Mingjian na Ujumbe wake Ofisini Kwangu Dodoma.

Mkutano wetu ulilenga kujadili mambo mengi ya ushirikiano baina ya nchi yetu hasa katika maeneo ya Ukuzaji ujuzi, maendeleo na mabadilko ya
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki shughuli za kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa Kuhusu Albino. Shughuli hii iliongozwa na Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa , Waziri Mkuu wa JMT , zilizofanyika katika viwanja wa Mwanga Mkoani Kigoma tarehe 13 Juni 2025. Maadhimisho haya yamekuwa

Nimeshiriki shughuli za kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa Kuhusu Albino. Shughuli hii iliongozwa na Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa , Waziri Mkuu wa JMT , zilizofanyika katika viwanja wa Mwanga Mkoani Kigoma tarehe 13 Juni 2025.

Maadhimisho haya yamekuwa
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Sheria zinazosimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii zinakataza makato yoyote ikiwemo kodi katika malipo ya mafao ya wastaafu. Hata hivyo, pale inapobainika kuwa mstaafu ana deni la mkopo kutoka serikalini ambalo halijalipwa kikamilifu hadi anapostaafu, sehemu ya mafao yake hukatwa

“Sheria zinazosimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii zinakataza makato yoyote ikiwemo kodi katika malipo ya mafao ya wastaafu. Hata hivyo, pale inapobainika kuwa mstaafu ana deni la mkopo kutoka serikalini ambalo halijalipwa kikamilifu hadi anapostaafu, sehemu ya mafao yake hukatwa
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimempokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi alipokuja kutembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu nikiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Bi. Ummy Nderiananga.