Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile
Madenge

@rollymsouth

Creative Marketing

ID: 351661592

linkhttp://www.madenge.co.tz calendar_today09-08-2011 15:30:21

189,189K Tweet

1,4M Followers

2,2K Following

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

All in All Enna mimi ni shemeji yangu kabisa rafiki ake wife, ukiachana hata haya mambo ya Olele maana mimi sikuwa hata mteja wao sinywi kokuteli…But i can tell you ni gud marketer hapa naongea kama Roland sasa nikiripoti kutoka Olele na ipo siku ntafanya nae kazi kubwa i tell u

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wanaitwa Av magari Ukiachana na Uagizaji magari kwa niaba ya wateja, kutoka Dubai,Singapore, Japan, USA, na Europe, pia wanafanya clearance ya magari na mizigo mingine bandarini. Ukiagiza gari kupitia wao, wewe lisubiri nyumbani, na updates zote muhimu.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Ni Tanzania tu au na nchi nyingine wanabeba watu maarufu kwenda nao kuzindua miradi?bongomuvi wa nini kwenye uzinduzi wa miradi?

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Mimi kinachonichosha huu mradi hakuna mtu haukubali, mradi bora kabisa kama SGR, una manufaa ya wazi kwa watumiaji wote, ila gharama za kuupiga promo bora tungechimba hata visima vya maji. Tunagharamia siasa kama vile watu wametoka chini ya poverty line.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Hii miradi ni mizuri na imefanywa kwa kodi zetu, nachojiuliza kwanini tunatumia hela nyingi kuwalipa watu waseme imefanyika?kwani sisi watanzania hatuoni?nani katoka akasema daraja ni kitu kibaya hadi PR iwe kubwa kiasi icho?hizo hela si zingefanya kitu kingine kizuri kwa jamii?