Rose Robert Manumba (@rose_manumba) 's Twitter Profile
Rose Robert Manumba

@rose_manumba

District Executive Director - Msalala| Mkurugenzi H/Wilaya ya Msalala | Founder @rmanumbatrust |Lawyer (Advocate)| 🇹🇿Tanzanian🇹🇿

ID: 706103666122604545

calendar_today05-03-2016 13:06:47

770 Tweet

4,4K Followers

208 Following

Rose Robert Manumba (@rose_manumba) 's Twitter Profile Photo

MASTER OF ARTS IN INTERNATIONAL COOPERATION AND DEVELOPMENT SHAHADA YA UMAHIRI YA SANAA KATIKA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO THANK YOU GOD. 5/12/2024.

MASTER OF ARTS IN INTERNATIONAL COOPERATION AND DEVELOPMENT

SHAHADA YA UMAHIRI YA SANAA KATIKA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO

THANK YOU GOD.
5/12/2024.
Rose Robert Manumba (@rose_manumba) 's Twitter Profile Photo

Amebarikiwa Mtu Yule Anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni Tumaini Lake. But blessed is the one who trusts in the LORD, whose confidence is in him. Yeremia 17:7

Amebarikiwa Mtu Yule Anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni Tumaini Lake.

But blessed is the one who trusts in the LORD, whose confidence is in him.

Yeremia 17:7
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri katika Sikukuu ya Krismasi. Tusherehekee na kujumuika na familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa furaha na upendo. Historia ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo itupe pia tafakari juu ya mwanzo mpya katika utekelezaji wa majukumu yetu ya kila siku, juu ya upendo kwa

Nawatakia nyote kheri katika Sikukuu ya Krismasi. Tusherehekee na kujumuika na familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa furaha na upendo. 

Historia ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo itupe pia tafakari juu ya mwanzo mpya katika utekelezaji wa majukumu yetu ya kila siku, juu ya upendo kwa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri katika Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Imekuwa miaka 61 ya kazi njema inayoendelea kutufanya kuwa wamoja na bora zaidi. Kazi ya kutuinua toka hatua moja kwenda nyingine kimaendeleo, kazi ya kubadili hali ya maisha ya wananchi wetu, na

Nawatakia nyote kheri katika Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 

Imekuwa miaka 61 ya kazi njema inayoendelea kutufanya kuwa wamoja na bora zaidi. Kazi ya kutuinua toka hatua moja kwenda nyingine kimaendeleo, kazi ya kubadili hali ya maisha ya wananchi wetu, na
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League). Mnaendelea kuleta furaha kwa Watanzania huku mkilitangaza vyema jina la nchi yetu kimataifa. Ninawatakia kila la kheri.

Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League). Mnaendelea kuleta furaha kwa Watanzania huku mkilitangaza vyema jina la nchi yetu kimataifa.

Ninawatakia kila la kheri.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Excellencies and distinguished guests, delegates, partners and friends, welcome to Tanzania for the Mission 300 Africa Energy Summit to be held in Dar es Salaam on the 27th and 28th of January 2025. This summit marks a historic moment in our collective efforts to accelerate

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam 08.02.2025 My Welcome and Opening remarks at the Joint Southern African Development Community (SADC) and the East African Community (EAC) Heads of State and Government Summit on the prevailing security situation in the Eastern Democratic Republic of Congo (DRC).

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Soga kidogo na Ester kuhusu masomo na ndoto yake maishani, nikiendelea na ziara yangu ya kikazi katika Mkoa wa Tanga, na leo kwenye Wilaya za Muheza na Mkinga. Ester ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga; mmoja kati ya wanafunzi waliofika

Soga kidogo na Ester kuhusu masomo na ndoto yake maishani, nikiendelea na ziara yangu ya kikazi katika Mkoa wa Tanga, na leo kwenye Wilaya za Muheza na Mkinga. 

Ester ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga; mmoja kati ya wanafunzi waliofika
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila ya Muheza Ester George Barua ambaye alimruhusu akalie kiti chake cha Rais kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee Wilayani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila ya Muheza Ester George Barua ambaye alimruhusu akalie kiti chake cha Rais kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee Wilayani
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia Makala Maalum ya Miaka Minne ya Kazi na Utendaji wa Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Akaunti yetu ya Youtube: Ikulu Tanzania, pamoja Vituo mbalimbali vya Runinga vya hapa nchini.

Rose Robert Manumba (@rose_manumba) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa na Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Bungeni Dodoma Leo, Uwasilishaji wa Bajeti Kwenye Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Tarehe 24/3/2025.

Nikiwa na Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Bungeni Dodoma Leo, Uwasilishaji wa Bajeti Kwenye Kikao cha Kamati  ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha.
Tarehe 24/3/2025.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyetubariki kuifikia na kuikamilisha Ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani aendelee kutusimamia na kutufanikisha. Tusherehekee kwa amani, umoja, upendo na utulivu. Tuendelee kudumu katika ibada na

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyetubariki kuifikia na kuikamilisha Ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani aendelee kutusimamia na kutufanikisha. 

Tusherehekee kwa amani, umoja, upendo na utulivu. Tuendelee kudumu katika ibada na
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Repost from Samia Suluhu • Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu

Repost from <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 
•
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu
Rose Robert Manumba (@rose_manumba) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Kauli Mbiu: Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki.

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Kauli Mbiu: Uchaguzi Mkuu
2025 utuletee Viongozi Wanaojali
Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki.