Ruga Eval (@ruga_eval) 's Twitter Profile
Ruga Eval

@ruga_eval

A journalist and a Content Creator

ID: 929498535376105472

calendar_today11-11-2017 23:58:14

168 Tweet

199 Followers

41 Following

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

JEKI KWA ELIMU YA CHEKECHEA KILIFI Shilingi milioni 10 zatumwa kuboresha shule Kilifi. Fedha hizo zinasaidia kuboresha shule za checkechea. Wanafunzi wengi wameonyesha hamu ya kuenda shuleni. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

USIMAMIZI WA MABADILIKO YA TABIANCHI Makundi ya kijamii yakubaliana na mahakama Mahakama iliharamisha uteuzi wa Rais kusimamia tabianchi. Mahakama ilibaini kuwa umma haukushirikishwa ipasavyo. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

UCHUNGUZI WA KIFO TATA IKOLOMANI Polisi wachunguza kifo cha mwanamke Kakamega. Mwanamke wa miaka 40 aliuawa kwa kuchomwa moto. Mlango wa nyumba uligundulika umefungwa kutoka nje. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

UWAZI WA MIRADI YA KAUNTI Tume ya haki inataka umma kufahamishwa ujenzi wa miradi. Wanasema sheria hiyo itasaidia kuhamasisha umma ipasavyo. Utunzi wake pia unapania kupunguza ufisadi katika miradi hiyo. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

AFUENI KWA VIWANDA VYA KAHAWA EMBU Viwanda vya kahawa vimepokea milioni 28. Fedha hizo zitasaidia katika kuboresha miundombinu. Hii inatarajiwa kuboresha ubora na wingi wa uzalishaji. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

LALAMA ZA UHABA WA MAJI NYAHURURU Wakazi Nyahururu walalamikia ongezeko la ada ya maji. Ada imeongezeka kutoka shilingi 61 hadi 115. Wametoa wito kwa usimamizi kujali wateja wao. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

WAKAZI WA ELGEYO MARAKWET WATETEA NG-CDF Wakazi wa Elgeyo Marakwet waunga mkono NG-CDF. Baadhi ya Wanasiasa wakashifiwa kwa kuhujumu pesa hizo. Wakazi wengi wadokeza kuwa pesa hizo imewafaidi pakubwa. Wametaka hazina hiyo iongezewe pesa zaidi. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

VUTA NIKUVUTE CHAMANAI ODM Baadhi ya viongozi wa ODM walalamika kwa utengano wa chama. Uchunguzi wa kuuliwa kwa Mbunge Ong'ondo kwaendelea. Viongozi wahimizwa kuwa na umakinifu wanapozungumza. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

MCHAKATO WA KUMCHAGUA PAPA MPYA Makadinali wakongamana jijini Vatican kwa uchaguzi. Uchaguzi huo utafanyika katika kanisa maalum la Sistine. Papa mpya anapaswa kupata kura theluthi mbili. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

HALI YA USALAMA NCHINI Waziri Murkomen ameahidi wakenya usalama. Murkomen akashifu tukio la mauaji ya aliyekuwa Mbunge wa Kasipul Charles Were Ong'ondo. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

AFCON U-20: KENYA Vs NIGERIA Rising Stars itacheza dhidi ya Nigeria leo usiku. Rising Stars imebwagwa mechi zao mbili za kwanza. Mashindano hayo yataendelea hadi tarehe 18 mwezi kuu. #TV47Matukio Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

MAANDALIZI YA RHINO CHARGE 2025 Kikosi cha 46 kilijumuika na wadhamini na mashabiki eneo la Lukenya. Kikao hicho kilifanyika wikendi iliyopita katika kaunti ya Machakos. Mbio hizi zitafanyika tarehe moja mwezi Juni. Itakuwa ni mara ya pili kwa gari 46 kushiriki mashindano

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Rais Ruto akashifu upinzani kwa kueneza siasa za ukabila na migawanyiko. Naibu Rais Kithure Kindiki asema kuwa serikali inalenga maendeleo. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Kimataifa ya Wanasheria yazindua ripoti ya ukatili wa polisi. Jumla ya visa 159 vya mauaji na utekaji nyara viliripotiwa 2024. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Makadinali wakongamana jijini Vatican kwa uchaguzi wa papa mpya. Uchaguzi huo utafanyika katika kanisa maalum la Sistine. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Wanne wahukumiwa kwa jaribio la kusafirisha siafu kinyume cha sheria. Wauzaji haramu wakamatwa na wadudu hai zaidi ya 5,000. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Ibada ya wafu ya mbunge wa Kasipul Charles Were yafanyika. Ibada hii ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Consolata Shrines. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

KUPPET yapinga kuratibiwa upya kwa maeneo yenye mazingira magumu. Serikali ilikuwa imependekeza kupunguza malipo ya walimu kwenye mazingira magumu. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Nairobi City Thunder kusafiri wiki ijayo kushiriki BAL. Thunder ni timu ya kwanza kuwahi kufuzu mashindano ya BAL. #UpeoWaTV47 Ruga Eval

tv47ke (@tv47newske) 's Twitter Profile Photo

Mwanajeshi bandia anaswa naivasha; Afisa bandia amekuwa mafichoni tangu 2019 Jamaa ajifanya afisa wa jeshi na mwenye cheo cha Meja. Polisi wadai kuhangaishwa naye kituoni kabla ya ulaghai kutibuka. Afisa bandia amekuwa mafichoni tangu 2019 Naivasha. #UpeoWaTV47 Ruga Eval