SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile
SHAKA ZULU

@s_sophagi

life is only thing we need.

ID: 1662812006921977856

calendar_today28-05-2023 13:24:47

3,3K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Leo inazinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa. Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) inapaswa kukua mara 13. Inawezekana,

Leo inazinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa. 

Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) inapaswa kukua mara 13. Inawezekana,
SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

Binafsi naamini kwa Hali ya uchumi wa nchi nyingi za afrika maendeleo hayatakiwi kupimwa kwa ukuaji wa demokrasia na utawala . Ila ujenzi wa miundobinu na maisha Bora ya watu. Hatujafika hatua tunazohitaji ,tujenge kwanza nchi na uchumi.

SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

Unpopular opinion. Uhuru wa kuchagua kiongozi wa kukuwakilisha bungeni inamchango mdogo sana katika maendeleo yako binafsi

GabbY (@iamgabby_1) 's Twitter Profile Photo

Huyo demu unayemng'ang'ania kwa sababu amekula hela zako na mzigo bado hujala/hataki kukupa achana nae kwa ajili ya Afya ya akili kwani kuzidi Kubembeleza ule ndio kuzidi kupoteza hela zako🔏.

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Miradi hii miwili ingeingiza kila mwaka Dola za Marekani bilioni 17 kama mapato ya fedha za kigeni, ilhali hivi sasa kwa takwimu za mwaka 2024 Tanzania inaingiza Dola za Marekani bilioni 16. Miradi hii ingeokoa fedha za kigeni tunazotumia kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka nje.

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura Oktoba, #LindaKura

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo

Ahsante sana Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Ndugu <a href="/IsmailJussa/">Ismail Jussa</a> kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum.

Oktoba #LindaKura
#MuhuniHasusiwi
<a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Sisi tunasema hatutapiga magoti kwa mtu yeyote anayeteka, anayeuwa na kupoteza watu, kama umekubali kuwa kiongozi wa umma lazima ukubali kukosolewa. Huyu anayefunga makanisa yanapomwambia acha kuteka watu kwanini tumuonee aibu na kumwogopa, mimi Heche sitamwogopa na tutasonga

GabbY (@iamgabby_1) 's Twitter Profile Photo

Mnaosema hamjawahi nunua B!Tch vipi wale ambao mnasema ni mademu zenu mkikutana na kukamuana huwa mnalipa mshahara au pesa ya mauziano tu. Sasa tofauti na yule anayenunua direct na wewe unayeona indirect nini? Sasa. Kiufupi kama unalipa baada ya $exy ujue umenunua B! Tch.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume usinywe chai ya kawaida, kunywa chai inayokupa na kutunza urijali wako Chukua tangawizi + mdalasini + majani ya mints Chemsha na kunywa kila asubuhi au jioni, au kadri unavyotaka Ukiwa na performance ndogo tena niulizwe mimi, #Mfalmecode ~super viagra

SHAKA ZULU (@s_sophagi) 's Twitter Profile Photo

Hata kama ukifa kesho jua litaendelea kuchomoza na kuzama. Watu wanaokupenda watalia ,watakukumbuka na kukuongelea mara nyingi lakini ukweli ni kwamba wataendelea na maisha yao bila wewe. Kila kitu kitaendelea kama kawaida utofauti tu wewe hutakuwa sehemu yake.