
Salim Bimani
@salimbimani2
National Secretary for Publicity and Communications @actwazalendo Tanzania/Zanzibar.
ID: 872914170274033666
https://www.facebook.com/pg/Salim-A-Bimani-1203727296338571/about/ 08-06-2017 20:32:10
7,7K Tweet
24,24K Followers
1,1K Following

VIDEO: Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chama Cha Mapinduzi kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT imekataa na kuamua kuwakabili vilivyo. Akihutubia mkutano wa

Kesho Mei 03, 2025 kutakuwa na Mkutano wa Hadhara Jimbo la Kigoma Kaskazini. KC Mstaafu Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na Mwenyekiti wa ACTWazalendo Mkoa wa Kigoma Ndugu Kiza Mayeye. watakuwepo na kuhutubia. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Kesho Mei 03, 2025 kutakuwa na Mkutano wa Hadhara Jimbo la Kigoma Kaskazini. KC Mstaafu Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe na Mwenyekiti wa ACTWazalendo Mkoa wa Kigoma Ndugu @kizamayeye_official watakuwepo na kuhutubia. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Maadhimisho ya Miaka 11 ya ACTWazalendo Kitaifa yatafanyika Ofisi za Makao Makuu Jijini Dar es salaam. Mgeni rasmi ni KC Dorothy Semu #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia




Leo Mei 15, 2025 Makamu Mwenyekiti ACTWazalendo Bara, Ndugu Isihaka Mchinjita amekutana na viongozi wa Ngome ya Wazee wa kata 20 za Manispaa ya Lindi. Makamu Mwenyekiti amewaeleza uamuzi wa chama kushiriki Uchaguzi wa 2025 kama sehemu ya utekelezaji wa operesheni Linda Demokrasia.




Kesho Makamu Mwenyekiti Bara ndugu Isihaka Mchinjita atazungumza na waandishi wa habari. Wote mnakaribishwa. #Taifalawote #Maslahiyawote #OpareshenilindaDemokrasia


Karibu sana ACTWazalendo Wakili Msomi Peter Madeleka. #TaifalaWote #MaslahiYaWote #OperesheniLindaDemokrasia


Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu atafanya ziara ya siku mbili katika Jimbo la Same Mashariki; Mkoa wa Kilimanjaro. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia



Hongera Sana KM Ado Shaibu ACTWazalendo Kwa kuwapokea kwa mamia Wanachama wa Chadema,CCM, CUF, wa Same Mashariki Kujiunga na Act Wazalendo Chama Makini chenye dhamira ya Kuwakomboa Watanzania.


Leo Mei 26, 2025 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu @othmanmasoudothman amesema Tanzania inarudi katika utawala wa mabavu na kwamba falsafa ya maridhiano imekiukwa. Akihutubia wananchi huko Lamadi, Simiyu



Mwenyekiti wa ACTWazalendo Othman Masoud Othman amekemea kauli ya Mbunge Maryam O. Said ya kutaka Martha Karua SC apigwe, akisema hakuchaguliwa kihalali—alitangazwa na kura 36 tu dhidi ya 5000 za mgombea wa ACT. “Hana uchungu na wananchi,” alisema. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia


Kesho Juni 03, 2025 Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu atazungumza na waandishi wa habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 7:00 Mchana #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia
