MintoFM (@mintofmradio) 's Twitter Profile Photo

Eeeh Mwenyezi Mungu nakuomba uyaondoe mambo yote yanayokuwa kikwazo kwangu na kunifanya nishindwe kusonga mbele, ikiwemo magonjwa, misiba, umaskini, ukosefu wa Ajira na mengine mengi. ^MK #MintoFM

Eeeh Mwenyezi Mungu nakuomba uyaondoe mambo yote yanayokuwa kikwazo kwangu na kunifanya nishindwe kusonga mbele, ikiwemo magonjwa, misiba, umaskini, ukosefu wa Ajira na mengine mengi. ^MK
#MintoFM
umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

OFISI YA RAIS TAMISEMI Habari muhusika katika kipindi hiki tafadhali andika vizuri hotuba ya waziri kuendana na hali halisi,ili kupata likes na views na watu waccoment sasa huu ni uandishi gani mambo mengi,,,,tuko huku hatuna kazi na ni waandishi wazuri.