
Mduda
@semgongolwa
Content Producer
ID: 481925574
03-02-2012 10:09:25
1,1K Tweet
479 Followers
890 Following


Umetazama Kasri la Crown Media ukiwa wapi? Cc Salim Kikeke Temidayo jack JJ



Hapa ndipo Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi utakapofanyika kuanzia kesho hadi keshokutwa tarehe 19. Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Dodoma, Tanzania. #CrownDigital #CCMKutanoMkuu


Happy kusikia sauti ya zuhura yunus tena hujawahi niangusha sema leo Kamba colabo Gerson Msigwa.

Africa Energy Summit Cc African Development Bank Group World Bank Tanzania ikulu_Tanzania


Mama Samia Suluhu Hongera kwa kazi kubwa unayofanya kuwainua wanawake Tanzania,Mama katika Ng’ombe uliopewa Muheza mimi ninaomba wawili majike ili waweze nisaidia kiuchumi.Eneo tayari ninayo Mkoani Iringa. Asante🙏🏿




Naibu Mkurugenzi wa CROWN MEDIA Salim Kikeke Amepewa Tuzo Maalum kwa kutambua Mchango wake na jitihada kutanabaisha Lugha Adhimu ya Kiswahili Ndani na Nje ya Nchi. Tuzo hiyo imetolewa na Chama cha Wanafunzi na Wahitimu wa Kiswahili wa Vyuo Vikuu na vya Kati Tanzania (CHAWAKITA) kwenye


Hongera sana Salim Kikeke 🙌🏿🙌🏿




Mudavadi amepigaje hapo ….. 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 MR BEN Thomas J. Kibwana