Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile
Shaffih Dauda

@shaffihdauda1

Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my own

ID: 363625842

linkhttp://www.shaffihdauda.co.tz calendar_today28-08-2011 12:15:23

26,26K Tweet

988,988K Followers

946 Following

Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

DERBY YA LOCAL PLAYERS vs FOREIGN PLAYERS. NANI WATAIBEBA MECHI? Najaribu kuwaza kama vikosi vya Simba na Yanga vitabaki kama vile tulivyozoea inawezekana Derby ya leo ikawa na local players yenye idadi sawa kutokea timu zote mbili. SIMBA. 1. Camara 2. โ Kapombe 3.

DERBY YA LOCAL PLAYERS vs FOREIGN PLAYERS. NANI WATAIBEBA MECHI? 

Najaribu kuwaza kama vikosi vya Simba na Yanga vitabaki kama vile tulivyozoea inawezekana Derby ya leo ikawa na local players yenye idadi sawa kutokea timu zote mbili.

SIMBA.
1. Camara
2. โ Kapombe
3.
SportsArenaTz (@sportsarenatztz) 's Twitter Profile Photo

TAI WA KONGO WATWAA UBINGWA, MAZEMBE NA VITA HAWAPO KIMATAIFA Timu ya Les Aigles du Congo imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya DRC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ na kuwapiku wakongwe kama TP Mazembe na AS Vita waliokuwa na msimu mbaya sana. Sare ya 1-1 dhidi ya TP Mazembe sio tu imewapa ubingwa bali imewanyima

TAI WA KONGO WATWAA UBINGWA, MAZEMBE NA VITA HAWAPO KIMATAIFA

Timu ya Les Aigles du Congo imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya DRC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ na kuwapiku wakongwe kama TP Mazembe na AS Vita waliokuwa na msimu mbaya sana.

Sare ya 1-1 dhidi ya TP Mazembe sio tu imewapa ubingwa bali imewanyima
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

TREND YA VIWANJA VIPYA DUNIANI, KUNA SIRI GANI NYUMA YAKE? Duniani ya soka imekumbwa na trend ya klabu kujenga viwanja vipya. Tottenham, Real Madrid na Barcelona ni klabu za hivi karibuni zenye viwanja vipya. Je kuna siri gani nyuma ya uwekezaji kwenye viwanja vipya? Kati ya

TREND YA VIWANJA VIPYA DUNIANI, KUNA SIRI GANI NYUMA YAKE?

Duniani ya soka imekumbwa na trend ya klabu kujenga viwanja vipya. Tottenham, Real Madrid na Barcelona ni klabu za hivi karibuni zenye viwanja vipya. Je kuna siri gani nyuma ya uwekezaji kwenye viwanja vipya?

Kati ya
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

CHOZI LA POGBA AKISAINI MKATABA NA KUMBUKUMBU MBAYA ZA KUTEKWA KISA NDUGU, PAMOJA NA ADHABU YA KUFUNGIWA. Anakabidhiwa karatasi za Mkataba kusaini ili aitumikie As Monaco msimu ujao, ghafla hisia kali zinamjaa moyoni, mtu mzima anaangusha chozi. Kila mtu anashikwa na butwaa

CHOZI LA POGBA AKISAINI MKATABA NA KUMBUKUMBU MBAYA ZA KUTEKWA KISA NDUGU, PAMOJA NA ADHABU YA KUFUNGIWA.

Anakabidhiwa karatasi za Mkataba kusaini ili aitumikie As Monaco msimu ujao, ghafla hisia kali zinamjaa moyoni, mtu mzima anaangusha chozi. Kila mtu anashikwa na butwaa
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Alhamdullah asubuhi ya leo [ Juni 30, 2025] nimekamilisha zoezi la kuchukua Fomu ya kuomba nafasi ya kuteuliwa na Chama changu 'CCM' kusimama kama mgombea wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Temeke.

Alhamdullah asubuhi ya leo [ Juni 30, 2025] nimekamilisha zoezi la kuchukua Fomu ya kuomba nafasi ya kuteuliwa na Chama changu 'CCM' kusimama kama mgombea wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Temeke.
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Kocha wa zamani wa Young Africans SC Miguel Gamondi amejiunga na Klabu ya Singida Black Stars kama Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu David Ouma na Kocha Moussa N'Daw watakuwa Makocha Wasaidizi.

Kocha wa zamani wa Young Africans SC Miguel Gamondi amejiunga na Klabu ya Singida Black Stars kama Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu David Ouma na Kocha Moussa N'Daw watakuwa Makocha Wasaidizi.
SportsArenaTz (@sportsarenatztz) 's Twitter Profile Photo

Utata uliokuwapo kuhusu ya hatma ya kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids umemalizwa baada ya chanzo changu kuniambia amekubali kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo aliyoiwezesha kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupanda hadi nafasi ya 5 kwa Ubora Afrika.

Utata uliokuwapo kuhusu ya hatma ya kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids umemalizwa baada ya chanzo changu kuniambia amekubali kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo aliyoiwezesha kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupanda hadi nafasi ya 5 kwa Ubora Afrika.
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuwa Diogo amefariki akiwa bado na mkataba wa miaka miwili na Klabu ya Liverpool, Viongozi wa Liverpool wamesema wataendelea kuilipa familia mshahara wote wa miaka miwili iliobaki kwenye mkataba wa Diogo Jota Funzo : Upendo kwa familia za rafiki zetu / wafanyakazi au popote

Kwa kuwa Diogo amefariki akiwa bado na mkataba wa miaka miwili na Klabu ya Liverpool, Viongozi wa Liverpool wamesema  wataendelea kuilipa familia mshahara wote wa miaka miwili iliobaki kwenye mkataba wa Diogo Jota

Funzo : Upendo kwa familia za rafiki zetu / wafanyakazi au popote
SportsArenaTz (@sportsarenatztz) 's Twitter Profile Photo

Mabosi wa Yanga wameendelea kufanya usajili wa kimya kimya kwa kumpa mkataba wa miaka miwili kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ aliyekuwa amefichwa katika kambi ya timu akijifua hata kabla ya Dabi ya Kariakoo . Yanga imemsainisha mkataba wa miaka miwili Mohamed Doumbia

Mabosi wa Yanga wameendelea kufanya usajili wa kimya kimya kwa kumpa mkataba wa miaka miwili kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ aliyekuwa amefichwa katika kambi ya timu akijifua hata kabla ya Dabi ya Kariakoo
.
Yanga imemsainisha mkataba wa miaka miwili Mohamed Doumbia
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Mtaalamu Angel Di Maria akiwa kwenye jezi ya Rosario Central ambao amejiunga nao akitokea Benfica Hii ndio klabu yake aliyoanzia maisha ya soka

Mtaalamu Angel Di Maria akiwa kwenye jezi ya Rosario Central ambao amejiunga nao akitokea Benfica 

Hii ndio klabu yake aliyoanzia maisha ya soka
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

VITA BORA WALIYOISHINDA ARSENAL. THE GUNNERS WAKIKOSA UBINGWA EPL MSIMU UJAO, NIULIZWE MIMI. Haha. Inafurahisha, inatia hamasa, na inaonyesha kuwa Arsenal kwa sasa ipo kwenye daraja fulani kuelekea WOKOVU WA KISOKA! Jaribu kutazama Arsenal aliingia vitani na Liverpool, Real

VITA BORA WALIYOISHINDA ARSENAL. THE GUNNERS WAKIKOSA UBINGWA EPL MSIMU UJAO, NIULIZWE MIMI. 

Haha. Inafurahisha, inatia hamasa, na inaonyesha kuwa Arsenal kwa sasa ipo kwenye daraja fulani kuelekea WOKOVU WA KISOKA!

Jaribu kutazama Arsenal aliingia vitani na Liverpool, Real
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

AKILI YA KICHAGA YA KUTAFUTA PESA NDANI YA UBONGO WA DESIRE DOUE Unaambiwa akili ya Kichaga ya kutafuta pesa ni โ€˜Worldwide Brainโ€™ hata kwa wenzetu huko Ulaya wanafikiria mbali kutafuta pesa kupitia msingi wa akili ya Kichaga. And this time around, tunaweka kambi kupiga story

AKILI YA KICHAGA YA KUTAFUTA PESA NDANI YA UBONGO WA DESIRE DOUE

Unaambiwa akili ya Kichaga ya kutafuta pesa ni โ€˜Worldwide Brainโ€™ hata kwa wenzetu huko Ulaya wanafikiria mbali kutafuta pesa kupitia msingi wa akili ya Kichaga. And this time around, tunaweka kambi kupiga story
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

ACHRAF HAKIMI ATAPUMZIKA LINI? Tangu 2022 Hakimi hajapumzika kabisa kwenye harakati zake za Soka, na nyie watu wa boli mmekaa kimya. Haki iko wapi? Unaambiwa Hakimi ni moja ya wachezaji ambao hawajapata kabisa mapumziko ya kutosha. Jaribu kutazama hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿพ 2022 alicheza na PSG,

ACHRAF HAKIMI ATAPUMZIKA LINI?

Tangu 2022 Hakimi hajapumzika kabisa kwenye harakati zake za Soka, na nyie watu wa boli mmekaa kimya. Haki iko wapi?

Unaambiwa Hakimi ni moja ya wachezaji ambao hawajapata kabisa mapumziko ya kutosha. Jaribu kutazama hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

2022 alicheza na PSG,
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Saini za Azam FC zilizokamilika hadi sasa 1.Muhsin Malima ___ kutoka Zed FC ya Misri 2.Aish Manula_____kutoka Simba SC 3.Florent Ibenge___kutoka Al Hilal ya Sudan 4.Lameck Lawi_____kutoka Coastal Union Kwenye saini hizi nne Azam imeboresha maeneo matatu , safu ya ulinzi kwa

Saini za Azam FC zilizokamilika hadi sasa 

1.Muhsin Malima ___ kutoka Zed FC ya Misri
2.Aish Manula_____kutoka Simba SC
3.Florent Ibenge___kutoka Al Hilal ya Sudan
4.Lameck Lawi_____kutoka Coastal Union

Kwenye saini hizi nne Azam imeboresha maeneo matatu , safu ya ulinzi kwa