
Simon Mkina
@sibosiso
Servant of truth. seasoned investigative journo-editor, publisher, columnist, media critic, CEO, father, son, husband, patriotic Tanzanian. RT not endorsement
ID: 87944100
http://www.tampa.or.tz 06-11-2009 13:54:55
3,3K Tweet
2,2K Followers
1,1K Following



Heri kwa kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa. Miaka 51 iliyopita, kule Singida ulitua duniani... umeendelea kubarikiwa kwa uhai. Rudisha sifa na utukufu kwa Muumba. Kila heri kwako rafiki January Makamba


Tunaitaka Serikali mara moja iwasilishe bungeni bajeti ndogo ili kuziba pengo linalojitokeza kufuatia kusitishwa kwa misaada ya USAID. Wajibu wa serikali ni kuhudumia watu wake kupitia kodi inazokusanya. Tunataka kuona uwajibikaji huo. Dr Elizabeth Sanga Wasemaji wa Kisekta ACTWazalendo



Aksante Maria Sarungi Tsehai. Bado Watanzania wanapenda kupata ripoti ya mauaji ya Kibao. Wanataka kuona mamlaka zilizoagizwa na Samia Suluhu zinatekeleza amri aliyotoa kwao.




Gazeti letu pendwa la PAMBAZUKO MEDIA linahitaji msaada wetu 👊🏽 Tushirikiane kuwachangia ili habari hizi ziwafikie malaki bure! Kutoa ni moyo 🙏🏽


Hakika Gazeti la Pambazuko limebeba mengi yenye kufungua ufahamu wa wasomaji ambao wana haki ya kupata habari BURE. Tuwatie shime kwa kuwachangia ili waendelee kutenda kazi iliyotukuka. Aksante sana kwa walioanza kuchangia. Kuwa mwanafamilia wa Pambazuko. Aksante Maria Sarungi Tsehai


Hello Martin Maranja Masese salama ndugu? Naona umechota habari ya gazeti la Pambazuko la leo kama ilivyoandikwa. Ukabeba na picha bila hata kusema umeitoa wapi. Ustaarabu na uungwana unapaswa kueleza kuwa habari na picha hii ni kwa mujibu wa gazeti la Pambazuko. Hujachelewa bado. Tenda.

Habari aliyoandika Martin Maranja Masese ameitoa hapa. Ustaarabu tu ungepaswa kumkumbusha kutaja gazeti la Pambazuko la leo kuwa ndiyo chanzo. Bado hajachelewa, ataje chanzo cha habari na picha aliyobandika kwenye ukurasa wa X.com



