Sputnik Afrika (@sputnik_swahili) 's Twitter Profile
Sputnik Afrika

@sputnik_swahili

Habari za moja kwa moja za Afrika Mashariki, Uchunguzi na Maoni

ID: 1937062558953058304

calendar_today23-06-2025 08:19:21

1,1K Tweet

262 Followers

31 Following

Sputnik Afrika (@sputnik_swahili) 's Twitter Profile Photo

Unataka kupumzika kwenye baa baada ya siku ngumu… lakini unafukuzwa kwa kifagio ➡️🚪 🦫 Katika moja ya baa nchini Ucheki aliingia beaver. Lakini badala ya ukarimu, alikumba na kifagio. Tunatumaini hana kinyongo, na hatarudi kulipiza kisasi kwa mmiliki kwa kukata mti ukaangukia

Sputnik Afrika (@sputnik_swahili) 's Twitter Profile Photo

Huna uzoefu wa kijeshi? Nenda kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine! Mpolandi huyu, ambaye hajawahi kutumikia jeshini, alitumwa moja kwa moja vitani. Tazama simulizi lake alilolitoa kwa Sputnik. Hatimaye Krzysztof Flaczek aliacha jeshi la Ukraine na kujiunga na lile la Urusi

Sputnik Afrika (@sputnik_swahili) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 Samia Suluhu Hassan ni mgombea wa kwanza wa urais kuwasilisha fomu za uteuzi kwa uchaguzi mkuu ujao. Akiwasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, alikuwa wa kwanza kuwasilisha fomu zake za uteuzi kabla ya vyama vingine 17.

🇹🇿 Samia Suluhu Hassan ni mgombea wa kwanza wa urais kuwasilisha fomu za uteuzi kwa uchaguzi mkuu ujao.

Akiwasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, alikuwa wa kwanza kuwasilisha fomu zake za uteuzi kabla ya vyama vingine 17.