LASTBORN๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@srailochapema) 's Twitter Profile
LASTBORN๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@srailochapema

โŒโŒDonโ€™t Tell People Your Plans. Show Them Your Results. | GOD FIRST ๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป @ChelseaFc ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช@SimbaSCTanzania๐Ÿฆ๐Ÿฆ

ID: 1182988106

calendar_today15-02-2013 15:38:12

46,46K Tweet

40,40K Followers

9,9K Following

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi yamekatika tena katika eneo la Somanga kuanzia mchana hadi jioni hii leo April 16,2025 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini ambapo hadi sasa hapapitiki. Mmoja wa Watumiaji wa barabara ambao wapo eneo la tukio

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Familia ya Raphael Majembe ikizungumza na Wanahabari Aprili 11, 2025 ilidai ndugu yao, Nestory Raphael Majembe (29) amefariki akiwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Tabata Shule na kudai kabla ya mauti kumkuta alishambuliwa kwa kipigo akituhumiwa kuiba Simu Familia hiyo

SABC Sport (@sabc_sport) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ† โ„‚๐•†โ„•๐”ฝ๐•€โ„๐•„๐”ผ๐”ป ๐”ฝ๐•€โ„•๐”ธ๐•ƒ ๐Ÿ† Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ will battle it out with Pyramids FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ for the coveted CAF Champions League crown ๐Ÿ‘‘ #SABCSportFootball | #TotalEnergiesCAFCL

๐Ÿ† โ„‚๐•†โ„•๐”ฝ๐•€โ„๐•„๐”ผ๐”ป ๐”ฝ๐•€โ„•๐”ธ๐•ƒ ๐Ÿ†

Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ will battle it out with Pyramids FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ for the coveted CAF Champions League crown ๐Ÿ‘‘

#SABCSportFootball | #TotalEnergiesCAFCL
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Amepotea! Amepotea! Amepotea! Familia imetangaza kutoa zawadi kwa yoyote atakaye toa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake Sambaza hii ifike Mbali ๐Ÿ™ Soma taarifa ya familia Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Amepotea!

Amepotea!

Amepotea!

Familia imetangaza kutoa zawadi kwa yoyote atakaye toa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake

Sambaza hii ifike Mbali ๐Ÿ™

Soma taarifa ya familia

Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

Happy moments in Tanzania as Simba make the Confederation Cup final. ๐Ÿฆ #cafccwithmicky #nguvumoja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema tangu saa sita usiku wa jana Polisi wamezingira nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na wamejaribu kutaka kuingia ndani lakini Ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo. Heche

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema tangu saa sita usiku wa jana Polisi wamezingira nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na wamejaribu kutaka kuingia ndani lakini Ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo.

Heche
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Salamu za pongezi kutoka kwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson baada ya Mnyama kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #WenyeNchi #NguvuMoja