Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile
Swahili Times

@swahilitimes

Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779

ID: 630605295

linkhttps://swahilitimes.co.tz calendar_today08-07-2012 21:11:19

89,89K Tweet

1,6M Followers

0 Following

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Utawala wa Rais Donald Trump unaripotiwa kupanga kupunguza wafanyakazi wa Shirika la Ujasusi la Kati (CIA) kwa takribani nafasi 1,200, huku mashirika mengine ya kijasusi, likiwemo Idara ya Usalama wa Kitaifa (NSA), yakitarajiwa kupunguza maelfu ya nafasi za ajira. Mpango huo

Utawala wa Rais Donald Trump unaripotiwa kupanga kupunguza wafanyakazi wa Shirika la Ujasusi la Kati (CIA) kwa takribani nafasi 1,200, huku mashirika mengine ya kijasusi, likiwemo Idara ya Usalama wa Kitaifa (NSA), yakitarajiwa kupunguza maelfu ya nafasi za ajira.

Mpango huo
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Wakili Peter Kibatala ameeleza kuwa mteja wake ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ataanza kususia chakula gerezani kuanzia hivi karibuni, mpaka pale haki itakapotendeka.

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Ninafarijika kuona tumepiga hatua kubwa katika kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza, ambapo mwaka 2025 tumepanda zaidi katika viwango vya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Haya ni matokeo ya kazi kubwa iliyofanywa na kila mdau kwenye sekta hii muhimu.

Wakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Peter Kibatala ameshindwa kujizuia na kumwaga machozi, wakati akisimulia ugumu alioupitia alipomtembelea mteja wake gerezani.

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

"Mimi ni mzaliwa wa Ruangwa [Lindi], naijua Ruangwa kwa upana wake. Hatua ya maendeleo tuliyoifikia ndani ya Ruangwa leo, haijawahi kutokea." - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Ruangwa

Watu watano wameokolewa baada ya kukaa kwa saa 36 wakiwa wamezungukwa na mamba, kufuatia hitilafu ya ndege iliyosababisha kutua kwa dharura karibu na mto Itanomas kwenye msitu wa Amazon huko Bolivia. Waliookolewa ni wanawake watatu, mtoto mmoja na rubani, ambao wameokolewa na

Watu watano wameokolewa baada ya kukaa kwa saa 36 wakiwa wamezungukwa na mamba, kufuatia hitilafu ya ndege iliyosababisha kutua kwa dharura karibu na mto Itanomas kwenye msitu wa Amazon huko Bolivia.

Waliookolewa ni wanawake watatu, mtoto mmoja na rubani, ambao wameokolewa na
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Marekani, Donald Trump amekosolewa na baadhi ya Wakatoliki baada ya kuchapisha picha iliyotengenezwa kwa kutumia akili mnemba (AI) kwenye akaunti yake na Ikulu ya Marekani, akiwa amevalia kama Papa. Picha hiyo imekuja wakati ambapo Wakatoliki wanaomboleza kifo cha Papa

Rais wa Marekani, Donald Trump amekosolewa na baadhi ya Wakatoliki baada ya kuchapisha picha iliyotengenezwa kwa kutumia akili mnemba (AI) kwenye akaunti yake na Ikulu ya Marekani, akiwa amevalia kama Papa.

Picha hiyo imekuja wakati ambapo Wakatoliki wanaomboleza kifo cha Papa
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Wachimbaji Madini kwenye mgodi wa Namungo wilayani Ruangwa mkoani Lindi wametoa milioni sita kwa ajili ya kumlipia fomu ya urais, Rais Samia Suluhu Hassan na fomu ya ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Wachimbaji hao wamesema kati ya fedha

Umoja wa Wachimbaji Madini kwenye mgodi wa Namungo wilayani Ruangwa mkoani Lindi wametoa milioni sita kwa ajili ya kumlipia fomu ya urais, Rais Samia Suluhu Hassan na fomu ya ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Wachimbaji hao wamesema kati ya fedha
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema watahiniwa 134,390 wanatarajia kuanza mtihani wa kidato cha sita kesho Mei 05, 2025, ambapo watahiniwa wa shule ni 126,957 na watahiniwa wa kujitegemea ni 7,433. NECTA imesema mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 20,854, sawa na

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema watahiniwa 134,390 wanatarajia kuanza mtihani wa kidato cha sita kesho Mei 05, 2025, ambapo watahiniwa wa shule ni 126,957 na watahiniwa wa  kujitegemea ni 7,433.

NECTA imesema mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 20,854, sawa na