
Sycilia Wakesho
@swakesho_
NewsAnchor/Editor NTV.Award winner journalist with a nose for inspirational /Educative stories; Instagram:@Swakesho_
ID: 2306429244
23-01-2014 11:45:08
440 Tweet
1,1K Followers
1,1K Following


Join us in congratulating our very own WakiliWambeti for her recognition as top 50 woman lawyer -Civil Society Practitioner during the recently concluded Nairobi Legal Awards 2024



Miaka 61 ya Uhuru,unajivunia nini kama MKenya?Miaka 61 baada ya Kenya kupata Uhuru ni nini serikali inastahili kufanya ili kuinua hali ya maisha ya WaKenya? #Factsfirst #KiooChaHoja Becky Muiruri Mulure Sycilia Wakesho





Omwamba 🇰🇪 Men LEARN Did you know that according to the National Police Service Act of 2011, assaulting a police officer especially on duty attracts a fine not exceeding Sh1 million, imprisonment for a term not exceeding 10 years or both.. before you act, elewa sheria.



Human rights Activist from HAKI Africa husseinkhalid getting first aid after the #RejectFinanceBill2024 Demos this evening



Michezo Ya Betika Bingwafest Mkondo wa mwisho wa michezo ya Betika BingwaFest msimu wa mwaka 2024/25 utafanyika kuanzia Ijumaa hii hadi Jumapili katika uwanja wa Nairobi Polo Club. #NTVMichezo Sycilia Wakesho

Toleo la pili la gazeti la biashara BD kwa nembo "Legal Minds Classic" ya golf ilikamilika Ijumaa kwa mashindano ya kusisimua, yakiwaleta pamoja wanasheria, viongozi wa biashara, na takwimu nyingine maarufu. #NTVWikendi Sycilia Wakesho Fridah Mwaka Lofty Matambo

MUBASHARA: #NTVWikendi na Sycilia Wakesho x.com/i/broadcasts/1…

Ruto: Muturi Akanyage Kubwa Kubwa! Rais Ruto amemfuta kazi Waziri Wa Huduma Za Umma Justin Muturi na kukamilisha miezi kadhaa ya mivutano baina ya Rais na waziri huyo. Ruto amemteua mbunge Geoffrey Ruku katika nafasi hiyo ya Muturi. #NTVJioni Sycilia Wakesho Ibrahim Karanja.

Ugonjwa Wa Parkinson's: Wagonjwa wengi wanalalamikia ugumu katika kutambuliwa kwa ugonjwa huu kwa wakati unaofaa. Leo kwenye makala ya #AfyaYako tunaangazia ugonjwa huu wa kutetemeka. #NTVJioni Sycilia Wakesho

Watu wanne wamepata majeraha baada ya jiko la kutengeneza chang'aa Kulipuka Kipkelion. Je,ni kipi umeshuhudia kuhusiana na chang'aa eneo unakotoka? #NTVMashinani Sycilia Wakesho

