TACAIDS (@tacaidsinfo) 's Twitter Profile
TACAIDS

@tacaidsinfo

Ukurasa Rasmi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania - TACAIDS

ID: 4169350288

linkhttp://www.tacaids.go.tz calendar_today12-11-2015 06:17:05

853 Tweet

1,1K Followers

360 Following

TACAIDS (@tacaidsinfo) 's Twitter Profile Photo

Mafunzo ya maadili na uwajibikaji kwa Wakurugenzi, Wakuu wa Sehemu na Mameneja wa TACAIDS yanayoendelea jijini Dodoma (Terehe 10 Hadi 13 Machi, 2025) Tusonge na Samia kutokomeza UKIMWI

Mafunzo ya maadili na uwajibikaji kwa Wakurugenzi, Wakuu wa Sehemu na Mameneja wa TACAIDS yanayoendelea jijini Dodoma (Terehe 10 Hadi 13 Machi, 2025)

Tusonge na Samia kutokomeza UKIMWI
TACAIDS (@tacaidsinfo) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Catherine Joachim akitoa ufafanuzi juu ya huduma za UKIMWI mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI ambao walikuwa ziarani tarehe 17 Machi, 2025 ya kujionea hali ya utoaji huduma za UKIMWI katika gereza la Singida

P.O.N.G.E.Z.I Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani. Tusonge na Samia kutokomeza UKIMWI

P.O.N.G.E.Z.I 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani.

Tusonge na Samia kutokomeza UKIMWI
TACAIDS (@tacaidsinfo) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) amesema serikali kwa kushirikiana na wadau inachukua hatua madhubuti za kuimarisha Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI kupitia vyanzo vya fedha za ndani ili kuwa na uendelevu wa utoaji huduma za UKIMWI hapa nchini.

Mhe. Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akizindua kampeni ya kupanda mlima Kilimanjaro "Kili Challenge 2025" kwa ajili ya kuchangia fedha kwenye Mwitikio wa UKIMWI nchini

Dkt Catherine Joachim kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupanda mlima Kilimanjaro "Kili Challenge 2025" jijini Dar es salaam