Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile
Tanzania Agricultural Development Bank

@tadbtz

Tanzania Agricultural Development Bank Limited (TADB) is a state-owned development finance institution (DFI) established as an apex national-level bank.

ID: 3389912086

linkhttp://www.tadb.co.tz calendar_today23-07-2015 21:14:35

3,3K Tweet

17,17K Followers

28 Following

Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Wafanyakazi , Wateja na Wadau wa TADB washiriki Futari ya pamoja Katika futari hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Agricultural Development Bank Bw. David Nghambi, amewapongeza waumini wa dini ya Kiislam kwa dua njema na utendaji wao ndani ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani. #RamadhanKareem #TADB

Wafanyakazi , Wateja na Wadau wa TADB washiriki Futari ya pamoja

Katika futari hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa <a href="/tadbtz/">Tanzania Agricultural Development Bank</a> Bw. David Nghambi, amewapongeza waumini wa dini ya Kiislam kwa dua njema na utendaji wao ndani ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

#RamadhanKareem
#TADB
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Je, unaufahamu Mradi wa TANLAPIA? Bofya πŸ‘‰ youtu.be/WeXtWg8niIc kujionea utekezaji wa Mradi wa Samaki wa TANLAPIA na namna unavyochochea maendeleo na upatikanaji wa ajira Bagamoyo-Pwani. #TADB #KilimoKinaBenkika

Je, unaufahamu Mradi wa TANLAPIA?

Bofya πŸ‘‰ youtu.be/WeXtWg8niIc kujionea utekezaji wa Mradi wa Samaki wa TANLAPIA na namna unavyochochea maendeleo na upatikanaji wa ajira Bagamoyo-Pwani.

#TADB
#KilimoKinaBenkika
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Bofya πŸ‘‰ youtu.be/QQ1B55LLrXI kutazama namna TADB kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa Tanzania (TI3P) kwakushirikiana na wadau wengine walivyokabidhi mitamba bora ya maziwa πŸ„ kwa Wafugaji wa kikundi cha Oltrumet, Ngaramtoni - Arusha. #TADB

Bofya  πŸ‘‰ youtu.be/QQ1B55LLrXI kutazama namna TADB  kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa Tanzania (TI3P) kwakushirikiana na wadau wengine walivyokabidhi mitamba bora ya maziwa πŸ„ kwa Wafugaji wa kikundi cha Oltrumet, Ngaramtoni - Arusha.

#TADB
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

TADB imeendesha mafunzo ya uelewa kwa viongozi na wakulima 211 katika Kijiji cha Kimeji, Chamwino mkoani Dodoma. Mafunzo haya yalilenga kuwapa uelewa kuhusu TADB na huduma zinazotolewa na benki katika kuchagiza utoaji wa mikopo kwenye sekta za Kilimo na Mifugo.

TADB imeendesha mafunzo ya uelewa kwa viongozi na wakulima 211 katika Kijiji cha Kimeji, Chamwino mkoani Dodoma. Mafunzo haya yalilenga kuwapa uelewa kuhusu TADB na huduma zinazotolewa na benki katika kuchagiza utoaji wa mikopo kwenye sekta za Kilimo na Mifugo.
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetangaza gawio la kihistoria la shilingi bilioni 5.58 kwa Serikali ya Tanzania kutoka shilingi milioni 850 zilizotolewa mwaka 2023. Taarifa hiyo imetolewa katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa kwa mwaka 2024. #TADB

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetangaza gawio la kihistoria la shilingi bilioni 5.58 kwa Serikali ya Tanzania kutoka shilingi milioni 850 zilizotolewa mwaka 2023. Taarifa hiyo imetolewa katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa kwa mwaka 2024.

#TADB
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

We wish you a Happy Union Day of Tanganyika and Zanzibar. Let us uphold the foundations of unity, peace, and togetherness as a nation. #TADB #Muungano #UnionDay #Unity

We wish you a Happy Union Day of Tanganyika and Zanzibar. Let us uphold the foundations of unity, peace, and togetherness as a nation.

#TADB #Muungano #UnionDay #Unity
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Happy International Workers’ Day! From smallholder farmers to agri-entrepreneurs and value chain workers, your dedication drives food security, growth, and development. TADB celebrates and stands with you today and every day. #TADB #LaborDay #WorkersDay #MayDay

Happy International Workers’ Day!

From smallholder farmers to agri-entrepreneurs and value chain workers, your dedication drives food security, growth, and development.

TADB celebrates and stands with you today and every day.

#TADB #LaborDay #WorkersDay #MayDay
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

TADB kwenye Maadhimisho ya MeiMosiπŸ“Singida Tumeshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Singida na kuhudhuriwa na wafanyakazi wa Sekta ya Umma, binafsi, taasisi na mashirika mbalimbali nchini na ya nje ya nchi. #TADB #MeiMosi

TADB kwenye Maadhimisho ya MeiMosiπŸ“Singida

Tumeshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Singida na kuhudhuriwa na wafanyakazi wa Sekta ya Umma, binafsi, taasisi na mashirika mbalimbali nchini na ya nje ya nchi.

#TADB
#MeiMosi
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

On 23 April 2025, TADB joined a key meeting with Hon. Dr. Mwigulu Nchemba Minister of Finance, IFAD President Alvaro Lario and team to strengthen ongoing cooperation. TADB is proud to be a beneficiary of IFAD’s AFDP and C-SDTP projects. #TADB #IFAD #AFDP #CSDTP

On 23 April 2025, TADB joined a key meeting with Hon. Dr. Mwigulu Nchemba Minister of Finance, IFAD President Alvaro Lario and team to strengthen ongoing cooperation. TADB is proud to be a beneficiary of IFAD’s AFDP and C-SDTP projects.

#TADB #IFAD #AFDP #CSDTP
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

TADB held a strategic meeting with the Global Sovereign Advisory (GSA) team in Washington, D.C. to explore areas of synergy and potential collaboration aimed at enhancing Tanzania’s agricultural finance landscape and advancing sustainable development. #TADB #GSA

TADB held a strategic meeting with the Global Sovereign Advisory (GSA) team in Washington, D.C. to explore areas of synergy and potential collaboration aimed at enhancing Tanzania’s agricultural finance landscape and advancing sustainable development.

#TADB #GSA
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Katika uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/25, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameonesha mchango wa TADB katika kukuza viwanda kupitia sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Frank Nyabundege, akiambatana na Mkurugenzi wa Mikopo, Mkurugenzi wa Biashara, pamoja na Meneja wa Kanda ya Kati, wamehudhuria kikao cha Bunge cha uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. #TADB #BajetiYaWakulima

Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB, Bw. Frank Nyabundege, akiambatana na Mkurugenzi wa Mikopo, Mkurugenzi wa Biashara, pamoja na Meneja wa Kanda ya Kati, wamehudhuria kikao cha Bunge cha uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2025/26.

#TADB #BajetiYaWakulima
Tanzania Agricultural Development Bank (@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

WIKI YA MAZIWA 2025: MOROGORO TADB kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji, Wazalishaji wa Maziwa (TI3P), inashiriki maadhimisho ya 28 ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ikiwa ni Maandalizi ya kuelelekea Siku ya Maziwa Duniani itakayoadhimishwa tarehe 01 Juni, 2025. #TADB #Ti3P

WIKI YA MAZIWA 2025: MOROGORO

TADB kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji, Wazalishaji wa Maziwa (TI3P), inashiriki maadhimisho ya 28 ya Wiki ya Maziwa Kitaifa ikiwa ni Maandalizi ya kuelelekea Siku ya Maziwa Duniani itakayoadhimishwa tarehe 01 Juni, 2025.

#TADB #Ti3P