Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile
Police Force TZ

@tanpol

Tanzania Police Force - Usalama Wa Raia na Mali zao

ID: 1978035230

linkhttp://www.polisi.go.tz calendar_today21-10-2013 09:00:57

9,9K Tweet

466,466K Followers

34 Following

Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile Photo

#Bajeti Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei 2025.

#Bajeti 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei 2025.
Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile Photo

#SARPCCO Picha mbalimbali wakati Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) IGP Camillus Wambura alipowasili katika ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa DCIs kutoka SARPCCO Juni 3, 2025 @sadc_secretariat

#SARPCCO 
Picha mbalimbali wakati Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) IGP Camillus Wambura alipowasili katika ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa DCIs kutoka SARPCCO Juni 3, 2025 @sadc_secretariat
Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile Photo

#SARPCCO Picha mbalimbali wakati Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) IGP Camillus Wambura akimkabidhi Kitara Maalumu Mkuu wa Jeshi la Polisi la Malawi Merlyne Yolamu ikiwa ni ishara ya kukabidhi Uenyekiti wa SARPCCO

#SARPCCO 
Picha mbalimbali wakati Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) IGP Camillus Wambura akimkabidhi Kitara Maalumu Mkuu wa Jeshi la Polisi la Malawi Merlyne Yolamu ikiwa ni ishara ya kukabidhi Uenyekiti wa SARPCCO