
Tanzania Bora
@tanzania_bora
We inspire active civically engaged youth with vision to see a peaceful, responsible, accountable and transparent Tanzanian society #TanzaniaBora
ID: 3348671800
http://www.tanzaniabora.org 28-06-2015 06:55:57
7,7K Tweet
5,5K Followers
774 Following


#CSOWeek2025 is around the corner! We’re proud to announce Twaweza - ni sisi as a member of the Steering Committee. CSOs work closely in communities to bring change. This June, we come together to reflect, learn, and shape what truly works in development programming. 🗓️ 2nd–6th



Dunia inahitaji watu wenye ubora. Academy kama hizi zinatukumbusha kujiuliza je sisi ni bora? Tunapika chakula sahihi kwa vijana wa kesho? 🚀Kutana na vijana wanaobadilisha maana ya uongozi. #VijanaPlus #TanzaniaBora #VijanaLeadershipAcademy2025 #VLA2025 EU in Tanzania Save the Children Tanzania



“Nimejifunza udhaifu wangu kama kijana na kama kiongozi, naenda kuchukua hatua, na kujenga kitu kikubwa katika jamii.” ▶️ Tazama kinachotokea vijana wanapopewa nyenzo za kuongoza.👇 #VijanaPlus #TanzaniaBora #VijanaLeadershipAcademy2025 #VLA2025 EU in Tanzania Save the Children Tanzania

