
Tanzania Trade and Investment Coalition(TATIC)
@tatic2022
Tanzania Trade and Investment Coalition seeks to promote sovereignty over Trade and Investment for fair and equitable human development
ID: 1534093314915549184
07-06-2022 08:44:12
275 Tweet
183 Followers
42 Following


Sera, siasa za ulimwengu zinavyoathiri mapambano ya mabadiliko ya tabia nchi #Climatechange #Ect #ICSID mwananchi.co.tz/mw/habari/bias… Ezekiel Kereri Amani Mustafa Mhinda Jackson Loserian Manaiya. Baraka~ Thomas ,Esq. @leteahalili Stephen W. Msechu C'de Nicomedes M Kajungu AFRICA KIIZA

Comrade AFRICA KIIZA has assessed the #Afcfta in its 5yrs, read more 👇👇👇👇


Kwa nini mikataba ya uwekezaji (BITs) ipitiwe upya Tanzania? Soma kufahamu zaidi 👉 mwananchi.co.tz/mw/habari/bias… Our analysis on the myth that BITs attracts FDIs is published by Mwananchi Newspapers 👏Halili H. Letea Cc Ezekiel Kereri @bothends.bsky.social policy forum Uwekezaji Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali





Women must have access, control & ownership of natural resources! Investments in land, mining, & conservation must respect women’s rights & ensure fair participation in decision-making. — Mr. Ezekiel Kereri, Tanzania Trade and Investment Coalition. Tanzania Trade and Investment Coalition(TATIC)





The campaign Life Before Profit reminds us: governments are prioritizing profits over life, over the environment, over communities. We must reverse this. — Ms. Jane Nalunga, Executive Director, SEATINI Uganda #MakeInvestmentsWork #LifeBeforeProfit Ford Foundation



Mh Rais, Mama Samia Suluhu wanao TATIC tunafanya hii kazi ya kutoa elimu ya hii mikataba ya kimataifa tupe kazi Mama tutoe elimu. Ukipata muda wa kusoma kuna hiki kitabu chetu pia unaweza kupakua hapa tatic.or.tz/wp-content/upl… Ukitaka hard copy tunavyo Mama tutakuletea usome.
