Themkulima (@themkulima) 's Twitter Profile
Themkulima

@themkulima

Agriculture Expert I Horticulturalist I Tomato expert I

ID: 1397512781109284875

calendar_today26-05-2021 11:19:52

5,5K Tweet

7,7K Followers

2,2K Following

Themkulima (@themkulima) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa kata ya mwanzugi igunga wamekataa mradi wa umwagiliaji kwenye eneo lao, sababu Hilo eneo la mradi hua wanafanyia matambiko ya Jadi.

Themkulima (@themkulima) 's Twitter Profile Photo

Mungu ni Mwema Sana leo Tarehe 10/6.Vijana wa Lile Shamba wameanza kuvuna hii Nyanya.kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kupata picha ya mavuno

Themkulima (@themkulima) 's Twitter Profile Photo

Ekari 500,000 Za Nyanya ukizihudumia vizuri zitakupatia wastani wa Box 200,000,000 ukiuza kwa Bei ya Sasa ya 50,000 haukosi 10+trillion.ukifanya kwa misimu 10 tu unalipa deni la Taifa. Gm familia.

Ekari 500,000 Za Nyanya ukizihudumia vizuri zitakupatia wastani wa Box 200,000,000 ukiuza kwa Bei ya Sasa ya 50,000 haukosi 10+trillion.ukifanya kwa misimu 10 tu unalipa deni la Taifa.
Gm familia.
Themkulima (@themkulima) 's Twitter Profile Photo

Pale TFF wakiamua tu kulima nyanya kama hii ikawapa matunda 15 Kila Mche, kwa Eka ya Miche 8000 watapata matunda 120,000. Ukiuza kwa Bei ya sasa ya nyanya 3 kwa 500 watapata mafungu 40,000 ambayo ni sawa na 12+M,Wakilima Eka Tano tu wanalipa Deni la Yanga la ubingwa wa CRDB