Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile
Thomas J. Kibwana

@thomasjkibwana

Tanzania Kwanza. I occasionally appear on T.V. and Radio. I piss off nameless and faceless ๐• accounts. Unofficial brand ambassador for Tanga.

ID: 603526550

linkhttps://linktr.ee/thomasjoelkibwana calendar_today09-06-2012 11:41:33

53,53K Tweet

9,9K Followers

2,2K Following

Neema Mduma, PhD (@nakadori) 's Twitter Profile Photo

Mapema jana nilishiriki uzinduzi wa Dira 2050 iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Dr. Samia Suluhu Hassan. Nikiwa kama mjumbe wa Timu ya Uandishi nimefarijika kushuhudia mchakato mzima wa kuiandaa Dira hii ambayo imelenga kutuletea maendeleo na ustawi wa pamoja.

Mapema jana nilishiriki uzinduzi wa Dira 2050 iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Dr. Samia Suluhu Hassan. Nikiwa kama mjumbe wa Timu ya Uandishi nimefarijika kushuhudia mchakato mzima wa kuiandaa Dira hii ambayo imelenga kutuletea maendeleo na ustawi wa pamoja.
Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

Nikiwaambia mtakuwa wapuusi wa mwisho mkimuamini Polepole.. Polepole ni trojan horse.. kafanya tumeacha kuulizia DIRA YA TAIFA tunahangaika na yeye.. Alikuwa kwenye mfumo, aliona yanavyoendelea.. he kept quiet. Leo ndo kapokea epiphany?? Atulie... ๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค

Taifa Reports (@taifareports) 's Twitter Profile Photo

Katika maelezo yake yote amesisitiza sana kwamba, hakuna mahala utaratibu wa kisheria ulikiukwa (legality) isipokua anaamini kulikua na ukiukwaji wa desturi zilizozoelema za chama ambazo hazijaandikwa popote (unwritten values) ambazo yeye anaamini zinapunguza uhalali (legitimacy)

Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@dndagala) 's Twitter Profile Photo

2) Kwa ushaidi huo wa katiba yetu ya Chama Cha Mapinduzi maana yake either wewe ndiyo Mtu mjinga zaidi Duniani au Zoba au Zezeta au msukule au Mgonjwa aliye toroka mirembe hospital. Rudi kamalizie dawa pengine Unaweza pona.

CWPedro (@cw_pedro) 's Twitter Profile Photo

Mbaya zaidi hajaonesha kama kuna KATIBA yoyote imevunjwa. Badala yake anasema Makamu au Waziri Mkuu hajawahi kuwa Rais wa nchi hii. Anasema pia ni 'utamaduni' wao CCM kila baada ya miaka 10 lazima apatikane Mwenyekiti mpya. Hasemi ni Ibara ipi ya Katiba ya CCM inayasema haya.

Tuku the Hippo๐Ÿฅฐ (@mwanzalimaa) 's Twitter Profile Photo

Leo wateja wangu wamefurahia chakula changu nimepata amani sana na furaha kuliko hata pesa niliyoipata๐Ÿฅฐ๐Ÿค— Next ijumaa oda zimeongezeka zaidi๐Ÿฅณ

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

3 miles ahead Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ Hawajafuta ualimu kama inavyofikiriwa na baadhi ya wadau. Kilichofanyika ni kuboresha muundo wa mafunzo ya ualimu. Kwa mujibu wa framework ya TCU (2024), shahada za awali kwa ualimu zitakuwa mbili pekeeโ€”BSc. Ed na BA. Ed na muundo wa maudhui na mafunzo kwa vitendo umeboreshwa.