Tanzania Meteorological Authority (@tma_services) 's Twitter Profile
Tanzania Meteorological Authority

@tma_services

Tanzania Meteorological Authority is the designated National Met Authority with the task of providing and regulating weather and climate services

ID: 856882074

linkhttp://www.meteo.go.tz calendar_today01-10-2012 19:22:20

30,30K Tweet

36,36K Followers

91 Following

Tanzania Meteorological Authority (@tma_services) 's Twitter Profile Photo

Wataalamu wa TMA kwa kushirikiana na Benki ya CRDB kupitia mradi wa Tanzania Agriculture Climate Adaptation Technology Deployment Project (TACATDP) wamewajengea uwezo Maafisa Ugani wa namna bora ya kutafsiri na kutumia taarifa za hali ya hewa hususani katika shughuli za kilimo.

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi.

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi kwa muda wa siku tano .