Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!

To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Followers

2,2K Following

nmaist _official (@nm_aist) 's Twitter Profile Photo

Nelson Mandela’s legacy inspires us to harness science, technology, and innovation as powerful tools for progress, equality, and a sustainable future. This upcoming Science, Engineering, Technology And Innovation Week, let’s advance knowledge that uplifts people and the planet.

SA (@salumawadh) 's Twitter Profile Photo

Are you running a family business? Then Succession planning is not an option Family businesses are critical in East Africa, 1. 60%-90% of private businesses are family owned 2. They contribute 30%-50% of the GDP 3. ⁠But only 20% survives due to lack of succession planning

Are you running a family business? Then Succession planning is not an option

Family businesses are critical in East Africa, 

1. 60%-90% of private businesses are family owned 
2. They contribute 30%-50% of the GDP

3. ⁠But only 20% survives due to lack of succession planning
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Mtihani mkubwa sasa katika maisha yetu ni kujitambua,na kuwa na ujasiri wa kuukabili ukweli unaotuhusu hasa pale ambapo ukweli huo kuhusu sisi unatofautiana na tunavyodhani au tunavyopenda kuwa. Ukiupita mtihani huu unakuwa mnyenyekevu. Unakuwa tayari kujifunza na kufundishika."

The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

Back then, trains moved slow but carried big dreams. Farmers, traders, and families all riding through smoky skies, holding on to hope. Today, Dar to Dodoma is faster than your first coffee sip. Life moves quick, and there’s no slowing down. ⚡ Mwananchi Communications Limited

Back then, trains moved slow but carried big dreams. Farmers, traders, and families all riding through smoky skies, holding on to hope.

Today, Dar to Dodoma is faster than your first coffee sip. Life moves quick, and there’s no slowing down. ⚡

Mwananchi Communications Limited
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam 🇹🇿🇰🇷 ▪️SEKTA YA UTALII KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KUSINI Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania Mhe. Eunju Ahn kwenye kikao kilichofanyika

📍Dar es Salaam

🇹🇿🇰🇷

▪️SEKTA YA UTALII KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KUSINI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania Mhe. Eunju Ahn kwenye kikao kilichofanyika
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Sisi wazazi wa watoto wa kike, ombi letu kwa wazazi wa watoto wa kiume ni kuwalea watoto wenu wajue kujali, kusamehe, na kuwa na imani kwa wanawake. Sisi tukiwaandaa wanetu wa kike kuwa wake na mama wema haisaidii sana ikiwa ninyi hamuwaandai wenu kuwa waume na baba bora."

Jumanne Mtambalike (@afruturist) 's Twitter Profile Photo

Things I enjoy doing... Yesterday I introduced the kids to the dynamic world of startups and venture capital, giving them a hands-on experience in pitching, capital raising, and investment decision-making. Five of them took on the roles of venture capitalists, tasked with

Things I enjoy doing...

Yesterday I introduced the kids to the dynamic world of startups and venture capital, giving them a hands-on experience in pitching, capital raising, and investment decision-making.

Five of them took on the roles of venture capitalists, tasked with
Robert Greene (@robertgreene) 's Twitter Profile Photo

Understand: we tend to overestimate other people’s abilities—after all, they’re trying hard to make it look as if they knew what they were doing—and we tend to underestimate our own.

Charles Onyango-Obbo (@cobbo3) 's Twitter Profile Photo

1/3: The four most affluent Africans hold $57.4 billion (€48.9 billion) and are richer than approximately half of the continent's 1.5 billion inhabitants, says Oxfam report. dw.com/en/4-rich-afri…

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

A reminder: Mhubiri 12:1 "Mkumbuke Muumba wako katika siku za ujana wako, kabla hazijaja siku za taabu, wala haijakaribia miaka utakaposema, 'Sina furaha katika hiyo.'"

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

“[Tunaweza kuwa] nuru kwa [watoto wasiowafahamu baba zao] kwa kuwakubali, kuwapenda, kuwasikiliza na kuwafanya kuwa sehemu ya familia zetu.” “Jamii […] inapaswa kubadilika —badala ya kuhukumu, tunaweza kuwasaidia kina mama wanaowalea watoto peke yao kwa kushiriki changamoto

“[Tunaweza kuwa] nuru kwa [watoto wasiowafahamu baba zao] kwa kuwakubali, kuwapenda, kuwasikiliza na kuwafanya kuwa sehemu ya familia zetu.”

“Jamii […] inapaswa kubadilika —badala ya kuhukumu, tunaweza kuwasaidia kina mama wanaowalea watoto peke yao kwa kushiriki changamoto
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

I am deeply saddened to learn of the passing of the former President of the Federal Republic of Nigeria, His Excellency Muhammadu Buhari. On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey our heartfelt condolences to His Excellency, Bola

I am deeply saddened to learn of the passing of the former President of the Federal Republic of Nigeria, His Excellency Muhammadu Buhari.

On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey our heartfelt condolences to His Excellency, Bola
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kumbuka kuwa mnyenyekevu uwapo kwenye furaha kwa kuwa furaha yako yaweza kuwa ni maumivu kwa wengine kama ambavyo hufurahii maumivu yako kuwa ni furaha kwa wengine." ~Togolani Mavura.

"Kumbuka kuwa mnyenyekevu uwapo kwenye furaha kwa kuwa furaha yako yaweza kuwa ni maumivu kwa wengine kama ambavyo hufurahii maumivu yako kuwa ni furaha kwa wengine." ~Togolani Mavura.
DMF (@dmftanzania) 's Twitter Profile Photo

You asked. We heard you. Now it’s our turn to deliver. For 10 years, we’ve listened, in hospitals, in schools, in homes, in communities, in meetings, in interviews, in evaluation sessions. What comes next is because of you 💙. #StayTuned #WeHeardYou #DorisMollelFoundation

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Huwezi kuwa unasonga mbele kama hawapo unaowaacha nyuma wala hawapo unaowapita mbele yako. Ukigeuka nyuma na usione wanaokukimbiza ujue wewe ndio wa mwisho. Ukitazama mbele usione wa kuwakimbiza ujue mwisho wako umekaribia. Nafasi zote hizi mbili ni hatari kwa ustawi wako."