TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile
TRT Afrika Swahili

@trtafrikasw

Afrika kama ilivyo

ID: 1559834727623835648

linkhttps://www.trtafrika.com/sw calendar_today17-08-2022 09:29:24

10,10K Tweet

43,43K Followers

25 Following

TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Mtetezi wa haki za binadamu kutoka Uganda Agather Atuhaire, ambaye alikamatwa nchini Tanzania ameripotiwa kuachiliwa. Familia yake imesema kuwa aliachwa karibu na mpaka wa Mutukula wa Uganda. Agather alikamatwa Mei 19, 2025, nchini Tanzania ambapo alikuwa amekwenda kuhudhuria

Mtetezi wa haki za binadamu kutoka Uganda Agather Atuhaire, ambaye alikamatwa nchini Tanzania ameripotiwa kuachiliwa. Familia yake imesema kuwa aliachwa karibu na mpaka wa Mutukula wa Uganda. 

Agather alikamatwa Mei 19, 2025, nchini Tanzania ambapo alikuwa amekwenda kuhudhuria
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la soka la Uganda (FUFA) limezindua taji jipya la Ligi Kuu ya nchi hiyo, UPL. Taji hilo limepewa jina la Margherita, kuenzi kilele cha mlima wa Rwenzori. Litakabidhiwa kwa mara ya kwanza siku ya Jumamosi wakati timu ya Vipers SC wakichukua ubingwa wa msimu 2024/25

Shirikisho la soka la Uganda (FUFA) limezindua taji jipya la Ligi Kuu ya nchi hiyo, UPL. Taji hilo limepewa jina la Margherita, kuenzi kilele cha mlima wa Rwenzori.

Litakabidhiwa kwa mara ya kwanza siku ya Jumamosi wakati timu ya Vipers SC wakichukua ubingwa wa msimu 2024/25
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilisema Alhamisi kwamba Marekani itaiwekea Sudan vikwazo baada ya kubaini kuwa ilitumia silaha za kemikali mwaka 2024. Vikwazo hivyo vinatarajiwa kuanza 6 Juni 2025, na vitahusisha Marekani kupunguza mauzo yake ya bidhaa kwenda Sudan, pamoja

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilisema Alhamisi kwamba Marekani itaiwekea Sudan vikwazo baada ya kubaini kuwa ilitumia silaha za kemikali mwaka 2024. 

Vikwazo hivyo vinatarajiwa kuanza 6 Juni 2025, na vitahusisha Marekani kupunguza mauzo yake ya bidhaa kwenda Sudan, pamoja
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome amewaidhinisha wanasheria 609 mahakama kuu. Miongoni mwao ni mbunge maarufu wa upinzani Paul Ongili, anayejulikana na wengi kama Babu Owino. Babu Owino ana umaarufu kwa kauli mbiu yake ya “ Tibim”

Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome amewaidhinisha wanasheria 609 mahakama kuu.
Miongoni mwao ni mbunge maarufu wa upinzani Paul Ongili, anayejulikana na wengi kama Babu Owino.

Babu Owino ana umaarufu kwa kauli mbiu yake ya “ Tibim”
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limezindua taji jipya la ligi ya klabu bingwa barani kabla ya fainali hizo kuchezwa siku ya Jumamosi Fainali hatua ya kwanza wenyeji watakuwa Mamelodi Sundowns wa Afrika Kusini dhidi ya Pyramids FC ya Misri, jijini Pretoria

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limezindua taji jipya la ligi ya klabu bingwa barani kabla ya fainali hizo kuchezwa siku ya Jumamosi 

Fainali hatua ya kwanza wenyeji watakuwa Mamelodi Sundowns wa Afrika Kusini dhidi ya  Pyramids FC ya Misri, jijini Pretoria
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Kaka wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jenerali Salim Saleh, ameapa kuchukua hatua dhidi ya mpwa wake na Mkuu wa sasa wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kufuatia msururu wa machapisho na vitisho kwa raia na wanadiplomasia kwenye mitandao ya kijamii. Saleh

Kaka wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jenerali Salim Saleh, ameapa kuchukua hatua dhidi ya mpwa wake na Mkuu wa sasa wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kufuatia msururu wa machapisho na vitisho kwa raia na wanadiplomasia kwenye mitandao ya kijamii.

Saleh
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

“Kutokuwa na uhakika kwa sera ya uchumi duniani imekuwa suala kuu.” Waziri wa Fedha wa Uturuki Mehmet Simsek anazungumza na TRT World, akigusia changamoto kubwa za kiuchumi duniani na kuelezea Kongamano la Kiuchumi la Qatar (QEF) kama “Jukwaa Lenye Tija Kubwa”. Anasisitiza

TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika Ikulu ya Élysée mjini Paris kwa mazungumzo yaliyohusisha ufuatiliaji wa maendeleo katika utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa wakati wa ziara ya Rais Macron nchini Ethiopia mnamo Disemba

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika Ikulu ya Élysée mjini Paris kwa mazungumzo yaliyohusisha ufuatiliaji wa maendeleo katika utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa wakati wa ziara ya Rais Macron nchini Ethiopia mnamo Disemba
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Akizungumzia umuhimu wa tukio hilo, Emine Erdogan alisema, "Ni imani yangu kuwa hofu zetu zinafanana. Tuna nia moja kwa sasa, ya kulinda familia zetu dhidi ya vitisho mbalimbali." trt.global/afrika-swahili…

TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Hizi hapa ni orodha ya nchi zillizopewa nafasi nyingi zaidi za watakaosafiri Saudia mwaka huu kwa ajili ya ibada ya hajji. Idadi ya mahujaji kila nchi huwekwa kulingana na idadi ya waislamu katika nchi hiyo. Jumla ya mahujaji milioni 2.5 wanatarajiwa kushiriki ibada hiyo mwaka

Hizi hapa ni orodha ya nchi zillizopewa nafasi nyingi zaidi za watakaosafiri Saudia mwaka huu kwa ajili ya ibada ya hajji.

Idadi ya mahujaji kila nchi huwekwa kulingana na idadi ya waislamu katika nchi hiyo.

Jumla ya mahujaji milioni 2.5 wanatarajiwa kushiriki ibada hiyo mwaka
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Victor Osimhen ameendeleza mafanikio. Baada ya kung'ara na Napoli, sasa amesaidia Galatasaray kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uturuki kwa mara ya 25 huku akivunja rekodi ya magoli mengi zaidi kufungwa na mchezaji wa nje nchini Uturuki katika msimu mmoja Hii hapa ni historia yake kwa

TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Uganda imegoma kumpa dhamana kiongozi wa upinzani nchini humo Kizza Besigye. Mwanasiasa huyo alikamatwa jijini Nairobi mwezi Novemba, 2024 na kupandishwa katika mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku chache baadaye, kwa tuhuma za uhaini. Besigye alikuwa daktari

Mahakama ya Uganda imegoma kumpa dhamana kiongozi wa upinzani nchini humo Kizza Besigye.

Mwanasiasa huyo alikamatwa jijini Nairobi mwezi Novemba, 2024 na kupandishwa katika mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku chache baadaye, kwa tuhuma za uhaini.

Besigye alikuwa daktari
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

- Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila alishutumu mfumo wa sheria wa nchi hiyo ya Afrika ya Kati. - Hii ni siku moja baada ya baraza la seneti kupiga kura kwa wingi kuunga mkono kuondolewa kinga yake ya kutoshtakiwa kutokana na madai yake ya kuwa na uhusiano na kundi la waasi la

- Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila alishutumu mfumo wa sheria wa nchi hiyo ya Afrika ya Kati.
- Hii ni siku moja baada ya baraza la seneti kupiga kura kwa wingi kuunga mkono kuondolewa kinga yake ya kutoshtakiwa kutokana na madai yake ya kuwa na uhusiano na kundi la waasi la
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

- Kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu amechaguliwa bila kuwepo kama mmoja wa manaibu wenyekiti wa muungano wa Demokrasia Duniani IDU. - CHADEMA ilithibitisha kuwa mwenyekiti wake Lissu ameteuliwa bila kupingwa baada ya kuhitimisha msururu wa mikutano huko mjini Brussels Ubelgiji. -

- Kiongozi wa CHADEMA  Tundu Lissu amechaguliwa bila kuwepo kama mmoja wa manaibu wenyekiti wa muungano wa Demokrasia Duniani IDU.
- CHADEMA ilithibitisha kuwa mwenyekiti wake Lissu ameteuliwa bila kupingwa baada ya kuhitimisha msururu wa mikutano huko mjini Brussels Ubelgiji.
-
TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

- Mohamed Salah alitawazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi ya Premia Jumamosi baada ya Mmisri huyo kufurahia kampeni ya kipekee wakati Liverpool ikinyakua taji lao la pili la Ligi ya Premia. - Salah alifunga mabao 28 na kutoa asisti 18 kuiongoza klabu hiyo ya Anfield kutwaa ubingwa,

- Mohamed Salah alitawazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi ya Premia Jumamosi baada ya Mmisri huyo kufurahia kampeni ya kipekee wakati Liverpool ikinyakua taji lao la pili la Ligi ya Premia.
- Salah alifunga mabao 28 na kutoa asisti 18 kuiongoza klabu hiyo ya Anfield kutwaa ubingwa,