
Tanzania Volleyball Federation
@tzvolleyballfed
Official Twitter Account for Tanzania Volleyball Federation. πΉπΏ
Ukurasa Rasmi wa Shirikisho la Mpira wa Wavu Tanzania.πΉπΏ
#Getinvolved #Keeptheballflying
ID: 1475935396051787791
28-12-2021 21:04:13
25 Tweet
174 Followers
224 Following

Yes ni TANZANIA VOLLEYBALL NATIONAL LEAGUE Playoffs na Finals Indoor Dar es salaam kuanzia tarehe 03 October, Miamba 8 kutoana jasho, njoo ushuhudie burudani hii.. Live on Azam TV More infos follow, Eng. Magoti Mtani @Azam tv Eddo Jayleen π na IG ni @official_tava

TVNL - Playoffs & Finals Indoor Dar es salaam, 03 Octoba, 2022. Timu - 8 kutoana jasho - Njoo ushuhudie burudani hii au angalia Live kupitia Azam TV Tufuatilie kupitia @Tanzaniavolley1 Azam TV @official_tava EastAfricaRadio E Digital Kampista Shaffih Dauda


#TVNL# Ratiba Kamili ya Playoffs na Finals Wababe 8 HAWA HAPAA.. Chagua Upande alafu ukiweza bet na jirani, mwambie Hamtokiiiiiiiiii TANZANIA VOLLEYBALL NATIONAL LEAGUE, VUMBI MKONONIπͺπΎπͺπΎπͺπΎπͺπΎπͺπΎ More Infos Eng. Magoti Mtani @Azamtvtz Eddo Jayleen π


Kuelekea Tarehe 03 October, Playoffs and Finals, TVNL IJUE TIMU YAKO!!! Next Posts Mbabe Mmoja Baada Ya Mwingine, usije kosea kubetπππ Andaa kalamu na karatasi kisha kaa chini mwanetu!!! Infos Eng. Magoti Mtani Jayleen π Eddo Miss Chelsea1221 and IG @tavatanzania


RTπ Kuelekea Tarehe 03 October, Playoffs and Finals, TVNL IJUE TIMU YAKO!!!!!! Next Posts Mbabe Mmoja Baada Ya Mwingine, usije kosea kubetπππ Andaa kalamu na karatasi kisha kaa chini mwanetu!!! More infos @Tanzaniavolley1 Eng. Magoti Mtani @Azamtvtz and IG @tavatanzania


#TVNL# Ijue KIUT Women Team iliyoanzishwa 2021 Chini ya Coach Msami na Captain Salma Mabingwa wa TUSA one Africa Tournaments. Last 5 games results: WWWWL Winning Chance: 70%ππ (bet kwa uangalifu) More Infos Eng. Magoti Mtani Azam TV Jayleen π Eddo


#TVNL# Ijue KIUT Men Team iliyoanzishwa 2021 Chini ya Coach Msami na Captain Stalon Mabingwa wa DAREVA 2022 na Washindi wa Pili One Africa Tournaments Last 5 games results: WWWWL Winning Chance: 80%ππ (bet kwa uangalifu Infos Eng. Magoti Mtani Azam TV Jayleen π Eddo


#TVNL# Nawaleta kwenu TANESCO a.k.a Wakata Umemeβ‘β‘β‘ Washindi wa pili DAREVA 2022 Winning Chance: 65% πππ ( Ongeza Umakini na Odd zako) Infos Eng. Magoti Mtani Azam TV Jayleen π Eddo


#TVNL# Wajela Original hawa hapa, wenye Volleyball yao Mabingwa watetezi ikiwa inaitwa Club Bingwa Winning Chance: 95% πππ ( Betting yako isinizingatie ukichaniwa mkeka) More Infos Eng. Magoti Mtani Azam TV Jayleen π Eddo


#TAVA# #TVNL# Kuelekea Wiki ya Mwisho LIGI YA TAIFA YA MPIRA WA WAVU 2022 Usikose Kusikiliza na Kutazama Mkutano na Waandishi wa Habari Saa saba mchana, Indoor Dsm Infos Eng. Magoti Mtani Azam TV Eddo Jayleen π Miss Chelsea1221 EastAfricaRadio Shaffih Dauda


π¨Reminder π¨Reminderπ¨Reminder Yes Ni Leo Kuanzia Saa nane hadi Saa nne Usiku Tanzania Volleyball National League Itakuwa Inaunguruma Pale Indoor Usikose Infos Eng. Magoti Mtani Azam TV Jayleen π Eddo Miss Chelsea1221 Usikose

Live Now On Azam Sports 3 JESHI STARS vs KIUT (Women) Later on 1900HRS CHUI vs JESHI STARS (Men) Infos Eng. Magoti Mtani Jayleen π Eddo Miss Chelsea1221


Ni Leo tena, Je Star Girls na TANESCO watapindua Meza dhidi ya MAGEREZA na KIUT tukutane Indoor Saa kumi na Moja jioni Infos Jayleen π Eng. Magoti Mtani Miss Chelsea1221 Eddo


TVNL Baada ya Jana TANESCO a.k.a WAKATA UMEME, kulazimisha game 3 dhidi ya KIUT, leo ni mtifuano wa Game 3, mmoja tu kwenda Final Indoor Saa moja jioni...β‘β‘ Infos Eng. Magoti Mtani Eng. Magoti Mtani Jayleen π Miss Chelsea1221 Eddo



