The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile
The University of Dodoma

@udomtheofficial

The University is located about 8 km east of the city center and is accessible by public transport, which is easily available from the city center.

ID: 1610226089892118530

linkhttp://www.udom.ac.tz calendar_today03-01-2023 10:46:56

797 Tweet

2,2K Followers

21 Following

The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) kupitia Shule ya Mfano ya Awali na Msingi Chimwaga siku ya tarehe 6 June, 2025 imeadhimisha Tamasha la Sanaa kwa watoto ( Watoto Wonders Arts Festival) lililoratibiwa na kikundi cha Wanafunzi 11 kutoka Ndaki ya Insia na Sayansi za Jamii ( CHSS)

Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa (SoMD) na Shule kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamiii ( SoNPH), leo tarehe 7 Juni 2025 wamefanya Uzinduzi rasmi wa Kongamano la Pili la Afya la Chuo Kikuu cha Dodoma (USCHe 2025),kwa kuanza na mbio za hamasa ya

Hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Pili (2) la Sayansi ya Afya, Chuo Kikuu cha Dodoma ( USCHe) linalofanyika katika Ukumbi wa jiji, Mji wa Magufuli tarehe 11 Juni, 2025. Kongamano hili linawakutanisha wadau mbalimbali wa masuala ya Afya kutoka ndani na nje ya nchi lengo ni

Hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Pili (2) la Sayansi ya Afya, Chuo Kikuu cha Dodoma ( USCHe) linalofanyika katika Ukumbi wa jiji, Mji wa Magufuli tarehe 11 Juni, 2025. 

Kongamano hili linawakutanisha wadau mbalimbali wa masuala ya Afya  kutoka ndani na nje ya nchi lengo ni
The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) Kupitia Ndaki ya Insia na Sayansi za Jamii ( CHSS) Idara ya Geografia na Stadi za Mazingira kwa Kushirikiana na na Wakala wa Barabara Tanzania ( TANROADS) Kupitia Mradi wa Jawabu la Ujanishaji ( Green Solutions Project-GSP) tarehe 11 Juni 2025

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa (SoMD) na Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), kimezindua rasmi Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (USCHe - 2025), lililofanyika katika Ukumbi wa Jiji, Mji wa Magufuli jijini Dodoma, tarehe

Habari Picha: Hitimisho la Kongamano la Pili (2) la Sayansi ya Afya, Chuo Kikuu cha Dodoma ( USCHe) lililofanyika Kwa siku tatu (3) kuanzia tarehe 11-13 Juni, 2025 katika Ukumbi wa jiji, Mji wa Magufuli mkoani Dodoma. Kongamano hilo liliwakutanisha wadau zaidi ya 600 wa

Habari Picha: Hitimisho la  Kongamano la Pili (2) la Sayansi ya Afya, Chuo Kikuu cha Dodoma ( USCHe)  lililofanyika Kwa siku tatu (3) kuanzia tarehe 11-13 Juni, 2025 katika Ukumbi wa jiji, Mji wa Magufuli mkoani Dodoma.

Kongamano hilo liliwakutanisha wadau zaidi ya 600  wa
The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa Uandishi wa Habari na Uhusiano kwa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo Juni 16, 2025 wameshiriki mafunzo maalum kuhusu matumizi ya Akili Unde “Artificial Intelligence (AI)” katika taaluma ya Habari na Mawasiliano ya Umma , lengo likiwa kuhakikisha Wanafunzi

Halfa ya Kuwapongeza Wanafunzi wanne (4) walioshinda Mashindano ya Kimataifa (HUAWEI GLOBAL COMPETITION AWARD) inayofanyika Katika jengo la Benjamini Mkapa Leo tarehe 18 Juni, 2025 . Mashindano hayo yalifanyika jijini Shennzhen, China kuanzia tarehe 20 hadi 24 Mei, 2025,

Halfa ya Kuwapongeza Wanafunzi wanne (4)  walioshinda Mashindano ya Kimataifa (HUAWEI GLOBAL COMPETITION AWARD) inayofanyika 
Katika jengo la Benjamini Mkapa Leo tarehe 18 Juni, 2025 .

Mashindano hayo yalifanyika jijini Shennzhen, China kuanzia tarehe 20 hadi 24 Mei, 2025,
The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Idara ya Sanaa na Taaluma ya Habari (AMS), kwa kushirikiana na Taasisi ya Tanzania Media Foundation (TMF), Leo tarehe 18 Juni, 2025 kimezindua mafunzo maalum ya uandishi wa habari yanayolenga kuimarisha umahiri na ujuzi wa vitendo kwa

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umewapongeza wanafunzi wanne (4) walioshinda Mashindano ya Kimataifa (HUAWEI GLOBAL COMPETITION AWARD) Leo tarehe 18 Juni, 2025 katika Jengo la Benjamin Mkapa. Mashindano hayo yalifanyika jijini Shennzhen, China kuanzia tarehe 20 hadi 24

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umewapongeza wanafunzi wanne (4) walioshinda Mashindano ya Kimataifa (HUAWEI GLOBAL COMPETITION AWARD)  Leo tarehe 18 Juni, 2025 katika Jengo la Benjamin Mkapa. 

Mashindano hayo yalifanyika jijini Shennzhen, China kuanzia tarehe 20 hadi 24
The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOSO), siku ya leo tarehe 23 Juni, 2025 katika Ukumbi wa Baraza la Chuo imefanya Uzinduzi wa Mfuko wa Ufadhili wa Masomo wa Serikali ya Wanafunzi (UDOSO SCHOLARSHIP FUND), wenye lengo la kusaidia wanafunzi wenye uhitaji.

Habari Picha: Ufunguzi wa Mafunzo Endelevu ya Kidigitali ya Ualimu kwa Walimu wa Hisabati na Masomo ya Sayansi kwa Shule za Sekondari katika Utekelezaji wa Mradi Unaofadhiliwa na Serikali ya Canada kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto ( UNICEF). Mafunzo

Habari Picha: Ufunguzi wa  Mafunzo Endelevu ya Kidigitali  ya Ualimu kwa Walimu wa Hisabati na Masomo ya Sayansi  kwa Shule za Sekondari katika Utekelezaji wa Mradi Unaofadhiliwa na  Serikali ya Canada kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto ( UNICEF). 

Mafunzo