Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile
Ummy Mwalimu

@ummymwalimu

Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan. 2022 to Aug 2024 & 2015 to 2020 | Minister, President's Office TAMISEMI 2021

ID: 525260096

calendar_today15-03-2012 10:55:12

9,9K Tweet

952,952K Followers

747 Following

Ntuli Kapologwe (@tuserod) 's Twitter Profile Photo

Huge congratulations to Hon. Ummy Mwalimu on her appointment to the Global Leaders Group on AMR! 👏 Having worked with her during my time at the Ministry of Health Tanzania Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿, I witnessed her tireless efforts in putting #AMR on the national agenda; from launching

Huge congratulations to Hon. <a href="/ummymwalimu/">Ummy Mwalimu</a> on her appointment to the Global Leaders Group on AMR! 👏

Having worked with her during my time at the Ministry of Health Tanzania <a href="/wizara_afyatz/">Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿</a>, I witnessed her tireless efforts in putting #AMR on the national agenda; from launching
Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

I have received with great honour the appointment to join the Global Leaders Group on Antimicrobial Resistance Global Leaders Group on AMR I commit to contribute my knowledge, experience and influence in the fight against this global public health threat #AMR #OneHealth

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepata heshima kubwa ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama njia ya kutambua kazi kubwa inayoendelea kufanywa kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Sauti ya Bunge ni sauti ya wananchi. Ahsanteni sana. Hakika,

Leo nimepata heshima kubwa ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama njia ya kutambua kazi kubwa inayoendelea kufanywa kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Sauti ya Bunge ni sauti ya wananchi. Ahsanteni sana.

Hakika,
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha. Tafakari na mafundisho ya Sikukuu hii yanatuasa kuishi katika utii kwa Mola wetu, katika ukweli na kumtegemea Mwenyezi Mungu, huku tukiwajali wenye uhitaji na wote ambao Mola amewaweka katika njia ya

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha. Tafakari na mafundisho ya Sikukuu hii yanatuasa kuishi katika utii kwa Mola wetu, katika ukweli na kumtegemea Mwenyezi Mungu, huku tukiwajali wenye uhitaji na wote ambao Mola amewaweka katika njia ya
Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak! Allah azikubali sadaka zetu. Kupitia sadaka hizi, Allah atulinde na atukinge na kila shari, fitna, chuki, hasadi, mabalaa, ubaya na uadui miongoni mwetu. Amiin

Asanteni sana UWT Wilaya ya Tanga kwa kutambua mchango wangu katika kuwatumikia wana Tanga Mjini kwa kipindi cha 2020 - 2025. Hatutoki kwenye reli. #KaziNaUtu Tunasonga Mbele..

Asanteni sana UWT Wilaya ya Tanga kwa kutambua mchango wangu katika kuwatumikia wana Tanga Mjini kwa kipindi cha 2020 - 2025. Hatutoki kwenye reli. #KaziNaUtu Tunasonga Mbele..
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika. Siku hii muhimu inatukumbusha wajibu wetu kama wazazi na viongozi wa kujenga jamii na taifa bora ambalo litamwezesha kila mtoto kukua na kuzifikia ndoto zake. Kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kutunga na kutekeleza mipango na

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika.

Siku hii muhimu inatukumbusha wajibu wetu kama wazazi na viongozi wa kujenga jamii na taifa bora ambalo litamwezesha kila mtoto kukua na kuzifikia ndoto zake. 

Kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kutunga na kutekeleza mipango na
Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Tumeupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru jijini Tanga tarehe 16/06/2025. Mwenge wa Uhuru umetembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Elimu, Afya, Barabara, Maji na uwezeshaji wananchi kiuchumi. #MwengeWaUhuru2025 - Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa Amani na Utulivu

Tumeupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru jijini Tanga tarehe 16/06/2025. Mwenge wa Uhuru umetembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Elimu, Afya, Barabara, Maji na uwezeshaji wananchi kiuchumi.

#MwengeWaUhuru2025 - Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa Amani na Utulivu
Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

#TangaMjini - Miradi ya TACTICS jumla ya TZS Bilioni 33 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la Makorora;Soko la Samaki Deep Sea; Uboreshaji wa Ufukwe wa Raskazone; Ujenzi wa Barabara za Masiwani na Magomeni kwa kiwango cha lami; Mfereji wa Kange -Mwarongo. Ujenzi utaanza Julai 15, 2025âś…

Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Tunasubiri hotuba ya Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunamshukuru Mungu kwa kuweza kufikia siku hii. #KaziNaUtuTunasongaMbele

Hongera sana Mhe Rais. Kazi zako zinaonekana. Wananchi wa Tanga Mjini tutaendelea kukuunga mkono kwa maendeleo ya Mji wetu na Tanzania kwa ujumla. Hakika Kazi umefanya. âś…âś…âś… #KaziNaUtuTunasongaMbele

Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Leo nimechukua fomu kuomba ridhaa ya chama changu Chama Cha Mapinduzi ili kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini ktk Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Lengo ni kuendeleza kazi tuliyoianza ya kupigania maendeleo ya Tanga yetu na ustawi wa wanaTanga Mjini #TangaFahariYetu #Mchetungwađź’Ş

Leo nimechukua fomu kuomba ridhaa ya chama changu <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> ili kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini ktk Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Lengo ni kuendeleza kazi tuliyoianza ya kupigania maendeleo ya Tanga yetu na ustawi wa wanaTanga Mjini  #TangaFahariYetu #Mchetungwađź’Ş
Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah! Leo nimerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama changu Chama Cha Mapinduzi kuwatumikia watu wa Tanga Mjini kwa nafasi ya Ubunge kwa kipindi cha pili kuanzia 2025 - 2030. #Mchetungwa #TangaMjini

Alhamdulillah! Leo nimerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama changu <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> kuwatumikia watu wa Tanga Mjini kwa nafasi ya Ubunge kwa kipindi cha pili kuanzia 2025 - 2030.  #Mchetungwa #TangaMjini