Veran Vii (@veranvii) 's Twitter Profile
Veran Vii

@veranvii

listening and understanding

ID: 953237127894110214

linkhttp://www.veranvii.co.ke calendar_today16-01-2018 12:06:56

51,51K Tweet

12,12K Followers

6,6K Following

Veran Vii (@veranvii) 's Twitter Profile Photo

Alafu don't use my friends to have my number,,hawana pia,, tunakutanaga huku kama wafuasi independent,, 😂😂😂😂😂 hawana na mimi sina zao 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

Wale mlikuwa mnaendea food round 2 high school tulikuwa tunawaita RETURNING OFFICERS 🤣🤣🤣, saa hii hadi maji nusu kikombe hawamalizi 😂😂😂

Ati kuto polish nails na zinakaa short and clean niliambiwa ni ukienyeji,,, 😴😴😴😴😴😴😴,, and how I hate additionals🫡🫡 cc @_Jose__m happy new year 😂😂😂