Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile
Ofisi ya Makamu wa Rais

@vpo_tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 baada ya kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar

ID: 1134574306422394883

linkhttp://www.vpo.go.tz calendar_today31-05-2019 21:36:08

3,3K Tweet

52,52K Followers

7 Following

Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa leo tarehe 09 Juni 2025.

Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na changamoto za athari za mabadiliko ya tabianchi zinazochangia kuongezeka kwa kina cha bahari na kuathiri fukwe mbalimbali. Hayo yamesemwa na Naibu wa Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.

Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na changamoto za athari za mabadiliko ya tabianchi zinazochangia kuongezeka kwa kina cha bahari na kuathiri fukwe mbalimbali.

Hayo yamesemwa na Naibu wa Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano wa kimataifa, na uwekezaji endelevu ili kuhakikisha uchumi endelevu wa bahari, kupunguza uchafuzi wa mazingira pamona na kulinda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoamesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha usimamizi endelevu wa mkondo wa Pemba pamoja na ikolojia ya baharini kwa ujumla. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa pembezoni uliyohusu “Kujenga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoamesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha usimamizi endelevu wa mkondo wa Pemba pamoja na ikolojia ya baharini kwa ujumla.
Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa pembezoni uliyohusu “Kujenga
Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri na Mazingira na Hali ya Hewa wa Sweden Mhe. Romina Pourmokhtari kando ya Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame Duniani yaliyofanyika kitaifa leo tarehe 17 Juni, 2025 katika Manispaa ya Shinyanga.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Giuseppe Coppola katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati Makamu wa Rais akielekea Jijini Roma nchini Italia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci Jijini Roma nchini Italia leo tarehe 19 Juni 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa Ubia wa Maendeleo kati ya Bara la Afrika na Serikali ya Italia (Mattei Plan) pamoja na Mpango wa Ulaya (Global Gateway) unaofanyika katika Viwanja vya Villa Doria Pamphilj Jijini Roma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri Mkuu wa Italia Mhe. Giorgia Meloni wakati alipowasili katika Viwanja vya Villa Doria Pamphilj Jijini Roma nchini Italia kushiriki Mkutano wa Ubia wa Maendeleo kati ya Bara la Afrika

Serikali imesema miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa, ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ambapo tayari imeleta manufaa ya kiuchumi katika baadhi ya maeneo nchini huku shilingi bilioni 45 zimelipwa na kunufaisha wananchi katika halmashauri 10. Naibu Waziri Ofisi

Serikali imesema miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa, ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ambapo tayari imeleta manufaa ya kiuchumi katika baadhi ya maeneo nchini huku shilingi bilioni 45 zimelipwa na kunufaisha wananchi katika halmashauri 10.

Naibu Waziri Ofisi
Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali wa Kanisa Katoliki Duniani kushiriki Dominika ya Ekaristi Takatifu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yohana wa Laterano lililopo Roma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Kampuni ya Kimataifa ya Uzalishaji Vifaa Tiba ya Health 3000 iliyopo Roma nchini Italia leo tarehe 23 Juni 2025. Makamu wa Rais amefanya mazungumzo na viongozi wa kampuni hiyo wakiongozwa na

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Kampuni ya Kimataifa ya Uzalishaji Vifaa Tiba ya Health 3000 iliyopo Roma nchini Italia leo tarehe 23 Juni 2025.

Makamu wa Rais amefanya mazungumzo na viongozi wa kampuni hiyo wakiongozwa na
Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoamewasihi watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia kuendelea kushirikiana na kuhakikisha wanaweka mkazo katika diplomasia ya uchumi na kulinda maslahi ya Tanzania katika uwakilishi wao. Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoamewasihi watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia kuendelea kushirikiana na kuhakikisha wanaweka mkazo katika diplomasia ya uchumi na kulinda maslahi ya Tanzania katika uwakilishi wao.

Makamu wa Rais
Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoamekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa shirikisho la Makampuni ya Italia (FEDERISPARMIO) wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo Guido Mucelli, Mazungumzo yaliyofanyika Jijini Roma nchini Italia leo