Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile
Wasafifm

@wasafifm

The official Twitter page for Wasafi FM
Hii Ni Yetu Sote

ID: 942026498533478400

linkhttps://wasafimedia.co.tz calendar_today16-12-2017 13:39:54

18,18K Tweet

165,165K Followers

1 Following

Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Spika Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, kilichotokea leo tarehe 06 Agosti, 2025 Jijini

Baada ya kucheza michezo mitatu na kujikusanyia alama Tisa (9) kwa kushinda michezo yote mitatu kutoka kwenye kundi B, timu ya Taifa ya Tanzania ya wachezaji wa michuano ya Ndani imefanikiwa kutinga hatua ya Robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 wakiwa wamebakiwa na mchezo mmoja

Klabu ya Everton imefikia makubaliano na Manchester City kwa ajili ya kumsajili winga wa timu hiyo, Jack Grealish, kwa mkopo wa msimu mzima. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, ambaye pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza, anatarajiwa kujiunga rasmi na kikosi cha

Klabu ya Everton imefikia makubaliano na Manchester City kwa ajili ya kumsajili winga wa timu hiyo, Jack Grealish, kwa mkopo wa msimu mzima. 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, ambaye pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza, anatarajiwa kujiunga rasmi na kikosi cha
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Manchester United imepanga kuendelea na mazungumzo mapya katika siku chache zijazo kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Brighton & Hove Albion, Carlos Baleba. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa United inaamini mchezaji huyo kutoka Cameroon ana hamu kubwa ya

Klabu ya Manchester United imepanga kuendelea na mazungumzo mapya katika siku chache zijazo kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Brighton & Hove Albion, Carlos Baleba. 

Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa United inaamini mchezaji huyo kutoka Cameroon ana hamu kubwa ya
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya AC Milan inaendelea na mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Rasmus Højlund. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na mazungumzo hayo, mawasiliano bado yanaendelea upande wa mchezaji, ambapo Milan imekuwa ikieleza mpango wake wa muda

Klabu ya AC Milan inaendelea na mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Rasmus Højlund. 

Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na mazungumzo hayo, mawasiliano bado yanaendelea upande wa mchezaji, ambapo Milan imekuwa ikieleza mpango wake wa muda
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

ARSENAL NDIYO KAMA MNAVYOWAONA Saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool watakuwa Dimbani kuwaalika Bournemouth kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2025/26. #WasafiSports

ARSENAL NDIYO KAMA MNAVYOWAONA

Saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool watakuwa Dimbani kuwaalika Bournemouth kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2025/26. 

#WasafiSports
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

MICHANGO INAENDELEA HUKO KIGALI #friendlymatch 33’ Rayon Sports 1-1 Yanga Sc ⚽️ A. Andabwile 1’ ⚽️ Boyeli #WasafiSports

MICHANGO INAENDELEA HUKO KIGALI 

#friendlymatch 

33’ Rayon Sports 1-1 Yanga Sc 

⚽️ A. Andabwile 1’
⚽️ Boyeli 

#WasafiSports
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

FT: Rayon Sports 1-3 Yanga Sc ⚽️ A. Andabwile 1’ (OG) ⚽️ Boyeli ⚽️ Pacome ⚽️ Mwamnyeto #FriendlyMatch #WasafiSports

FT: Rayon Sports 1-3 Yanga Sc 

⚽️ A. Andabwile 1’ (OG)

⚽️ Boyeli 
⚽️ Pacome 
⚽️ Mwamnyeto

#FriendlyMatch
#WasafiSports
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), wamemuidhinisha Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa Shirikisho hilo kwa miaka mingine minne. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Kiomoni Kibamba ametangaza matokeo hayo moja kwa moja kutokea Tanga baada ya

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), wamemuidhinisha Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa Shirikisho hilo kwa miaka mingine minne.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Kiomoni Kibamba ametangaza matokeo hayo moja kwa moja kutokea Tanga baada ya
Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

KILIBA: TUTAPAMBANA KIKAMILIFU NA WOTE WANAOHATARISHA AMANI YA TANZANIA Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza kuwa Vijana wazalendo wa Tanzania watakabiliana na yeyote anayepanga kutumia uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025

Wasafifm (@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Bingwa Mtetezi Yanga Sc na Mshindi wa Pili wa Ligi Kuu ya NBC Simba utapigwa September 16, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Mfumo wa mashindano ya Ngao ya Jamii umebadilika

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Bingwa Mtetezi Yanga Sc na Mshindi wa Pili wa Ligi Kuu ya NBC Simba utapigwa September 16, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. 

Mfumo wa mashindano ya Ngao ya Jamii umebadilika