Wizara ya Elimu Zanzibar (@wemazanzibar) 's Twitter Profile
Wizara ya Elimu Zanzibar

@wemazanzibar

This is an Official page for the Ministry of Education and Vocational Training Zanzibar (MoEVT)

ID: 1392078291872460802

calendar_today11-05-2021 11:25:17

152 Tweet

701 Followers

10 Following

Wizara ya Elimu Zanzibar (@wemazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 22 /07/2024 Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), pamoja na Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), wametia saini hati za Mashirikiano ya kitaaluma (MOU), baina ya (KIST), na (MUST). (instagram.com/p/C9ucOIeIq5K/)

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw. Khamis Abdulla Said Amefungua Mkutano wa tathmini ya Kamati ya Sekta ya Elimu ya Zanzibar ZESC ulioandaliwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO.

Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Wakijadiliana kuhusu ukaguzi wa Mradi wa Ujenzi wa Skuli Mpya ya Msingi ya Ghorofa G+2 Mwambe, iliyoko Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Kufuatia ziara ya Makamu wa Pili instagram.com/p/C-FO9KIgp-Z/…

Wizara ya Elimu Zanzibar (@wemazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw. Khamis Abdulla Said akiwa katika picha ya pamoja na Ugeni wa Wahadhiri na Wataalamu wa Vyuo Vikuu mbali mbali vya China. Ugeni huo umefika Wizara ya Elimu Zanzibar leo tarehe 07/11/2024.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw. Khamis Abdulla Said akiwa katika picha ya pamoja na Ugeni wa Wahadhiri na Wataalamu wa Vyuo Vikuu mbali mbali vya China. 
Ugeni huo umefika Wizara ya Elimu Zanzibar leo tarehe 07/11/2024.
Wizara ya Elimu Zanzibar (@wemazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Kupata elimu sahihi kwa mtoto ni rasili mali muhimu ambayo itamuwezesha kuwa na mafanikio mazuri Duniani na Akhera ( instagram.com/p/DCJ0VU-oN-G/…)