willy karani (@willykarani5) 's Twitter Profile
willy karani

@willykarani5

ID: 1390390602932629505

calendar_today06-05-2021 19:40:13

7,7K Tweet

970 Followers

449 Following

willy karani (@willykarani5) 's Twitter Profile Photo

Kenya garama ya maisha imepanda sana.bei za bidha zimepanda sana viongozi wamenyamaza.wanatupigia tu kelele za siasa.Wetu Masikini wanaumia Sana.Bei ya mbolea 6000.Viongozi hamuoni hiyo?

willy karani (@willykarani5) 's Twitter Profile Photo

Hali ya maisha imekuwa ngumu Wakenya Masikini wanaumia.bei ya mafuta imepanda.bei za biha muhimu zimepanda.sioni maana ya kupiga kura mwishoe naumia.bei ya mbolea 6000 Serekali imenyamaza tuumie.tutaumia paka lini?

willy karani (@willykarani5) 's Twitter Profile Photo

Kusomwa kw Bajeti Jana sijaona ikiwa na muhimu.wangeshukisha Bei ya mafuta na Bei za bidhaa kwa maduka na vyakula watu wa maisha ya chini tungefurahia.tutaendelea tu kuumia watu wa maisha ya chini.mungu saidia.

willy karani (@willykarani5) 's Twitter Profile Photo

Kenya tuweza kuishi ikiwa mafuta himepanda bei.masha enaendelea kuwa magumu sana.mungu tu ndio atatusaidia kwa haya maisha magumu.

willy karani (@willykarani5) 's Twitter Profile Photo

Wengi wa Wakenya wanakumbwa nanja.serekali mko wapi? Huku Bei ya vyakula madukani ni Bei ghali.Wakenya masikini wataumia hadi lini? Mungu saidia mahali tumefika ni mungu tu.