
winharder_
@winharder_
Entrepreneur/ Teacher/Digital Advocacy officer/ Safe Online Space Diplomat / #SOSDiplomats #UstawiSalamaMtandaoni #RoadSafetyAmbassador/ #YangaSc
ID: 911201550965645313
http://linkedin.com/in/winharder- 22-09-2017 12:12:33
188,188K Tweet
16,16K Followers
7,7K Following





#ElimikaWikiendi Unadhani tunaposema โAfya ya Akiliโ tunamaanisha nini hasa ? #ElimikaWikiendi


Afya ya akili kwa vijana inahusisha kujitambua kuwa na uwezo wa kudhibiti hasira,huzuni, hofu na kuwa na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi.~|Joachim Mabula #MindyourMind #ElimikaWikiendi

#ElimikaWikiendi Tafiti Zinaonesha zaidi ya 70% ya Vijana Wanaopitia Changamoto za Afya ya Akili hawatafuti Msaada. Je, nini kinazuia vijana wengi kuchukua hatua? #ElimikaWikiendi

Unyanyapaa uliopo kwenye afya ya akili ni mkubwa.~Christian E Alais #ElimikaWikiendi spaces #MindyourMind

Unaposema huyu ana afya ya akili - unamaanisha ana ustawi bora wa Afya ya Akili - Christian E Alais, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Space.




Mgonjwa wa akili huwezi kumtambua kwa kumuangalia kwa macho hadi daktari ampime na athibitishe. Hii itasaidia kupunguza unyanyapaa na kuongeza uelewa wa afya ya akili kwa jamii ~|Christian E Alais #ElimikaWikiendi spaces #MindyourMind

Hakuna mwanadamu asiyepitia changamoto ya afya ya akili tunatofautiana namna ya kuzikabili ~|Christian E Alais #ElimikaWikiendi space #MindyourMind




Hakuna mwanadamu asiyepitia changamoto ya afya ya akili tunatofautiana tu namna ya kuzikabili ~ Christian E Alais #ElimikaWikiendi space #MindyourMind


Afya bora ya akili huanza kwa unachofikiri, unachokifanya na unachozungumza kila siku - Christian E Alais, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Space


Mgonjwa wa akili huwezi kumtambua kwa kumuangalia kwa macho hadi daktari ampime na athibitishe. Hii itasaidia kupunguza unyanyapaa na kuongeza uelewa wa afya ya akili kwa jamii ~|Christian E Alais #ElimikaWikiendi spaces #MindyourMind
