WIZARA YA ARDHI (@wizara_ya_ardhi) 's Twitter Profile
WIZARA YA ARDHI

@wizara_ya_ardhi

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

ID: 856447535208124416

linkhttp://lands.go.tz/ calendar_today24-04-2017 09:59:39

1,1K Tweet

25,25K Followers

209 Following

WIZARA YA ARDHI (@wizara_ya_ardhi) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiwa katika maandamano kuelekea uzinduzi wa Michezo ya Mei Mosi katika Uwanja wa Ccm LITI Mkoani Singida.

WAZIRI NDEJEMBI AAGIZA SHAMBA LA MJANE KURUDISHWA, AONYA WAVAMIZI WA ARDHI DODOMA WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Geofrey Mwamsojo kumrudishia shamba lake, Bi. Madina Hassan

WAZIRI NDEJEMBI AAGIZA SHAMBA LA MJANE KURUDISHWA, AONYA WAVAMIZI WA ARDHI DODOMA

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Geofrey Mwamsojo kumrudishia shamba lake, Bi. Madina Hassan
WIZARA YA ARDHI (@wizara_ya_ardhi) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo April 30, 2025 akisikiliza changamoto za ardhi kutoka kwa wananchi mbalimbali walioziwasilisha ofisini kwake katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma.

MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI YAENDELEA MKOANI KAGERA Mafunzo kwa Wathamini na Warasimu Ramani kwa ajili ya zoezi la Uandaaji Vitalu vya Thamani ya Ardhi (Valuation Block) yanaendelea mkoani Kagera

MAFUNZO UANDAAJI VITALU VYA THAMANI YA ARDHI YAENDELEA MKOANI KAGERA

Mafunzo kwa Wathamini na Warasimu Ramani kwa ajili ya zoezi la Uandaaji Vitalu vya Thamani ya Ardhi (Valuation Block) yanaendelea mkoani Kagera
WIZARA YA ARDHI (@wizara_ya_ardhi) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi zawadi CPA Amina B. Jumbo, Mhasibu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kama mfanyakazi hodari wa wizara hiyo. Tukio hilo limefanyika wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga akimkabidhi Mtangazaji na Mhariri wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Agnes Mbapu tuzo ya Samia Kalamu Awards katika kipengere cha Ardhi na Makazi.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geofrey Pinda pamoja na Viongozi wengine katika kikao cha 22 cha mkutano wa 19 wa Bunge la 12 bungeni jijini Dodoma leo.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha, 2025/26 bungeni jijini Dodoma leo Mei 29, 2025.

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii Mheshimiwa Najma Murtaza Giga akiwasilisha taarifa ya Kamati hiyo katika Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha, 2025/26 bungeni jijini Dodoma leo Mei 29,

Huduma za Ardhi zinaendelea kutolewa katika Banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofikia tamati leo Juni 23, 2025 katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma .

MHANDISI SANGA AKUTANA NA KUWAPONGEZA MAWAKILI WA KUJITEGEMEA KWA KUONGEZA KASI KATIKA KUMALIZA MASHAURI KATIKA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA

WADAU WAJADILI UHUISHAJI MITAALA YA CHUO CHA ARIDHI TABORA Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla.

WADAU WAJADILI UHUISHAJI MITAALA YA CHUO CHA ARIDHI TABORA

Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake  ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla.
WIZARA YA ARDHI (@wizara_ya_ardhi) 's Twitter Profile Photo

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geofrey Pinda akifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kufunga rasmi shughuli za Bunge la 12 jijini Dodoma leo Juni 27, 2025.

KATIBU Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga akifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kufunga rasmi shughuli za Bunge la 12 jijini Dodoma leo Juni 27, 2025.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi akifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kufunga rasmi shughuli za Bunge la 12 jijini Dodoma leo Juni 27, 2025.