ZAFELA (@zafela) 's Twitter Profile
ZAFELA

@zafela

Zanzibar Female Lawyers Association is Non Government organization which deals with legal aid and human understanding for women and children's affairs.

ID: 1143473516064514048

calendar_today25-06-2019 10:58:25

255 Tweet

74 Followers

90 Following

ZAFELA (@zafela) 's Twitter Profile Photo

Leo Novemba 20, Jumuiya ya Wanasheria wanawake Zanzibar ZAFELA kwa ufadhili wa Malala umeanza mafunzo maalum ya kuwawezesha wahamisishaji 30 wa kike katika kusaiida kurudisha watoto wa kike shuleni waliosimama masomo kutokana na sababu mbalimbali.

*KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA - ZAFELA 2024* Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) inaungana na dunia kuadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia tarehe 25 Novemba hadi 10 Disemba.

*KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA - ZAFELA 2024* 

Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) inaungana na dunia kuadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia tarehe 25 Novemba hadi 10 Disemba.
ZAFELA (@zafela) 's Twitter Profile Photo

Watendaji wa Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar ZAFELA wakipeana uelewa mpana kuhusiana na mpango mkakakati wa mwaka 2025 na kukumbushana baadhi ya majukum muhimu ya kazi ZAFELA #pembaretreet

Watendaji wa  Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar ZAFELA wakipeana uelewa mpana kuhusiana na mpango mkakakati wa mwaka 2025 na kukumbushana baadhi ya majukum muhimu ya kazi  ZAFELA 

#pembaretreet
ZAFELA (@zafela) 's Twitter Profile Photo

ZAFELA Yazindua Rasmi Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Kaskazini Pemba Leo, tarehe 26 Novemba 2024, Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) imezindua rasmi Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Kaskazini Pemba.

ZAFELA Yazindua Rasmi Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Kaskazini Pemba

Leo, tarehe 26 Novemba 2024, Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) imezindua rasmi Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Kaskazini Pemba.
ZAFELA (@zafela) 's Twitter Profile Photo

Kuendelea kwa Msafara wa Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Kaskazini Pemba Kama sehemu ya msafara unaoendelea wa Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, ZAFELA iliwafikia wanajamii katika Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikijumuisha Shehiya za Kisiwani, Mleteni,Wete

Kuendelea kwa Msafara wa Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Kaskazini Pemba

Kama sehemu ya msafara unaoendelea wa Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, ZAFELA iliwafikia wanajamii katika Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikijumuisha Shehiya za Kisiwani, Mleteni,Wete

Ikiwa ni msimu wa 4 wa utoaji tuzo kwa Vinara wanaopiga vita dhidi ya ukatili wa kijinsia, Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar ZAFELA imetoa tuzo kwa vinara 15 wanaoendeleeza vyema mapambano hayo katika harakiri zao za kila siku.

“Executive Director of ZAFELA, Ms. Jamila M. Juma, alongside Executive Director of TAMWA-Zanzibar, Ms. Mzuri Issa, and GIZ Representative, Ms. Kristin, participating in the CSW69 Meeting in New York, advocating for gender equality and women’s empowerment.”

Mapema jana tarehe 24 sawa na mwezi 23 Ramadhani, Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar ZAFELA kwa kushirikiana na Chuo Cha Sheria Zanzibar imeandaa Iftaar ya pamoja iliyokusanya watoto yatima kutoka kituo cha watoto Yatima Mbweni na Kituo cha Watoto Yatima Mtoni.