
Zingibermc
@zingibermc
👉youtu.be/Ga2zWhwq9Mc
ID: 1520298778066104320
30-04-2022 07:07:59
15,15K Tweet
182 Followers
319 Following


"Msimamo wetu kama Chama ni No reforms, No Election…”-; Mhe. Freeman Mbowe December 2024.

Msikilize Dada wa Taifa Mange Kimambi

Ndugu zetu Police Force TZ mnaweza kufunga mikutano (ofcoz siwalaumu mana nitawaonea katika hili) lakini hamuwezi kuzuia kiu ya mabadiliko iliyopo miongoni mwa raia huku mtaani. Madam Samia Suluhu hii haitakusaidia wewe kupingwa Kwa hasira kali. Hatudai mauji Bali HAKI KATIKA TAIFA LETU.





Tundu Antiphas Lissu ni mfano halisi wa ujasiri na uanaharakati wa kweli. Ametanguliza haki, uwazi na utawala wa sheria licha ya vitisho, na mateso. Ktk mapambano yake dhidi ya mifumo kandamizi, hajawahi kuyumbishwa. Sauti yake ni mwanga wa matumaini kwa watetezi wa demokrasia na haki.










