RAMA (@zissojr) 's Twitter Profile
RAMA

@zissojr

👻

ID: 1913579063345635328

calendar_today19-04-2025 13:03:06

407 Tweet

57 Followers

13 Following

RAMA (@zissojr) 's Twitter Profile Photo

BETRI LA SIMU YAKO LIWE IMARA NA LIDUMU KWA MUDA MREFU. 🗨️Punguza mwangaza wa skrini 🗨️Zima data, Wi-Fi, Bluetooth usipotumia 🗨️Funga apps zisizotumika 🗨️Epuka kutumia simu ukiichaji 🗨️Tumia chaja original 🗨️Weka saver mode Ongeza nyingine tuendelee kujifunza...

RAMA (@zissojr) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa matoleo bora sana ya iPhone series ni hii iPhone 13 Plain... Inapatikana kwa 870K tu Kwa Mwanza ni free delivery popote pale ulipo ndani ya jiji la Mwanza. +255747151944 Njoo tuongee Business.

Miongoni mwa matoleo bora sana ya iPhone series ni hii iPhone 13 Plain...

Inapatikana kwa 870K tu 
Kwa Mwanza ni free delivery popote pale ulipo ndani ya jiji la Mwanza.

+255747151944 Njoo tuongee Business.
kipepeo (@kipepeotz) 's Twitter Profile Photo

Tunashirikiana na timu kubwa uraya na Simba ni timu kubwa sana Africa Tajiri akiwa amepiga nne akakunja na sita pembeni ACHA pesa iongee mwaisa🙌🫩

Tunashirikiana na timu kubwa uraya na Simba ni timu kubwa sana Africa 

Tajiri akiwa amepiga nne akakunja na sita pembeni ACHA pesa iongee mwaisa🙌🫩
RAMA (@zissojr) 's Twitter Profile Photo

Wanangu kuna hii tabia ukipanda dala dala Kuna watu either wawili au watatu wanapiga stori kwa nguvu kinomaa! Yaani unakuta watu wote wapo kimya kuwasikiliza wao tu😀 Naona kama ushambaa yani, wanataka engagements😀 Hii tabia ni sidhani kama ipo sawa😀🙌 #NAWASILISHA.

ROSALINE🦋 (@amrosalinee) 's Twitter Profile Photo

Ukiachana na... 🎯Arsenal kutwaa ubingwa EPL 🎯Tundu lisu kuwa raisi 🎯Simba sc kuwa bingwa Africa 🎯Harmonize kupita na Grammy unaona tukio gani lingine litatokea kati ya mwaka2025-2026...😉😎??

RAMA (@zissojr) 's Twitter Profile Photo

Neno “naendelea kupambana” lina nguvu sana — maana yake bado hujakata tamaa, na hiyo ni hatua kubwa kuliko inavyosikika. 💪 Maisha huwa hayanyooki kila siku, lakini wapiganaji kama wewe ndio huishia kufika mbali. Changamoto hizi unazopitia leo zinaweza kuwa ngazi ya kesho.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hili bango lisambae Nchi nzima. Kila mpenda HAKI hawezi kuchekea na kukalia kimya UTEKAJI. #kataautekaji #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Hili bango lisambae Nchi nzima. 

Kila mpenda HAKI hawezi kuchekea na kukalia kimya UTEKAJI.

#kataautekaji 

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎