SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger) (@ikindakani11826) 's Twitter Profile
SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger)

@ikindakani11826

Ex_soldier 825code (2017_2020),it's doesn't matter what you know but whom you know??

ID: 1805289848204353538

calendar_today24-06-2024 17:20:56

2,2K Tweet

1,1K Followers

7,7K Following

Mdude Nyagali (@mdudenyagali) 's Twitter Profile Photo

"๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฎ๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—บ๐˜‚ & ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ท๐—ถ, ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ผ๐—ป๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ต๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ". - Lamar Smith.

Utekaji na ukamataji holela wa wapinzani hauwezi kutunyamazisha kupaza sauti kwa unyama huu uliofanywa na polisi Police Force TZ . Mateso ambayo polisi mnatupa ni ya muda tu kwa kuwa mwaka huu kuna mabadiliko makubwa ya kiserikali. Tutakuwa na serikali mpya na kila askari kuanzia ngazi

Jeshi la polisi Police Force TZ limekaa kishabiki sana. Ukisoma hii press release waliyoitoa kwa umma wanadai father Kitima ameshambuliwa akiwa anapata kinywaji. Kantini hiyo ya TEC kuna vyakula pia lakini kwanini wameandika alienda kupata kinywaji na sio chakula? Lengo lao ni nini hapa?

Kama polisi wanapotosha ni wazi kwamba wamepata taarifa hii kupitia chanzo kingine na sio kanisa ambalo lilikuwa na watu katika ofisi hizo za TEC. Sasa Muliro na Police Force TZ mtuambie taarifa za father Kitima kupata kinywaji na kwenda maliwato mmezitoa wapi? Je chanzo chenu

Kama polisi wanapotosha ni wazi kwamba wamepata taarifa hii kupitia chanzo kingine na sio kanisa ambalo lilikuwa na watu katika ofisi hizo za TEC. Sasa Muliro na Police Force TZ mtuambie taarifa za father Kitima kupata kinywaji na kwenda maliwato mmezitoa wapi?

Je chanzo chenu
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Rushwa inatolewa live kwenye TVโ€ฆ Hawa watalipaje kodi? Watu wamepata insurance ya kuficha uchafu wao. Kwa wale wanaojua, wameona Nchi inauzwa!!! Tunaweza kuchunguza biashara za hawa watu, tujue wanavyolipa kodiโ€ฆ Watanzania mna wajibu wa kurudisha Nchi hii mikononi mwenu na

SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger) (@ikindakani11826) 's Twitter Profile Photo

Lengo lao ni team Magufuli ipotee, Chama Cha Majambazi hakitaki tena watu wanaosimama kwenye ukweli. Ndo maana kinabambikia watu kesi,na madalali wake hawa hapa.๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง #Tutakuwepo๐Ÿซต๐Ÿซต๐Ÿซต

Lengo lao ni team Magufuli ipotee, Chama Cha Majambazi hakitaki tena watu wanaosimama kwenye ukweli.
Ndo maana kinabambikia watu kesi,na madalali wake hawa hapa.๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง
#Tutakuwepo๐Ÿซต๐Ÿซต๐Ÿซต
SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger) (@ikindakani11826) 's Twitter Profile Photo

Nimemisi makamanda wangu sana, kwakweli CHADEMA NI IMANI โค๏ธ ๐Ÿ‘‰ Makamanda tusikate tamaa, tupambane na MaCCM kiulalo ulalo. Hadi sasa yamechanganyikiwa๐Ÿคฃ follow ๐Ÿ‘‰ CHADEMA NI IMANIโค๏ธ(Nyegere Wa Afrika/Honey badger)

Nimemisi makamanda wangu sana, kwakweli CHADEMA NI IMANI โค๏ธ  ๐Ÿ‘‰ Makamanda tusikate tamaa, tupambane na MaCCM kiulalo ulalo.
Hadi sasa yamechanganyikiwa๐Ÿคฃ follow ๐Ÿ‘‰ CHADEMA NI IMANIโค๏ธ(Nyegere Wa Afrika/Honey badger)
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

MATESO,MISUKOSUKO,VIKWAZO VINAVYO IMARISHA NA KUIKUZA CHADEMA...! Kuna watu nakutana nao au kuongea nao mara kwa mara. Wakiongea kwa kutuonea huruma CHADEMA huku wakiwa wamejawa hofu mioyoni mwao kuwa chama chetu kinasambaratishwa kwa namna kesi,vifungo,vizuizi,utekaji na vifo

MATESO,MISUKOSUKO,VIKWAZO VINAVYO IMARISHA NA KUIKUZA CHADEMA...!

Kuna watu nakutana nao au kuongea nao mara kwa mara.

Wakiongea kwa kutuonea huruma CHADEMA huku wakiwa wamejawa hofu mioyoni mwao kuwa chama chetu kinasambaratishwa kwa namna kesi,vifungo,vizuizi,utekaji na vifo
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

"Turbulence isn't for the weak "... Haitakuwa rahisi lakini tutashinda. Makamu wetu Mwenyekiti John Heche ameshika usukani kwa umahiri mkubwa sana. TUKO SALAMA. #NOREFORMNOELECTION

"Turbulence isn't for the weak "...
Haitakuwa rahisi lakini tutashinda.
Makamu wetu Mwenyekiti
John Heche ameshika usukani kwa umahiri mkubwa sana.
TUKO SALAMA.
#NOREFORMNOELECTION
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Tuna taarifa za ndani kutoka kwa viongozi wa dini hususa Maaskofu kwamba kikosi kazi maalumu kimeundwa kwa ajili ya kuwashawishi ili wahamasishe wananchi kushiriki uchaguzi. Kwa heshima tunawaomba Maaskofu wetu wasikubali. Viongozi ni daraja la kwenda kwa Mungu. Zacharia Thomas Obad

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Polepole : ACT Wazalendo na CHAUMMA ni vyama mbadala vya wana mtandao, Nilisema hii watu wakanifuata mbona unawasema ACT, mimi ni raia nina haki ya kusema hivi VYAMA Narudia, ACT ni project walianzisha wana mtandao na huu ndio ukweli.

Polepole  : ACT Wazalendo na CHAUMMA ni vyama mbadala vya wana mtandao, Nilisema hii watu wakanifuata mbona unawasema ACT, mimi ni raia nina haki ya kusema hivi VYAMA

Narudia, ACT ni project walianzisha wana mtandao na huu ndio ukweli.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanajua kabisa wanamiliki mfumo wa NIDA ndiomaana wanaviburi. Yani hadi maiti zinapiga kura kuwaweka Madarakani. Hata tunaosema โ€œNo reforms no Electionโ€ tutapigisha KURA KILAZIMA. Hapana aisee lazima tufike mwisho kwenye hili. Hawa VIBAKA waende likizo. Dawa ni

Wanajua kabisa wanamiliki mfumo wa NIDA ndiomaana wanaviburi.

Yani hadi maiti zinapiga kura kuwaweka Madarakani. Hata tunaosema โ€œNo reforms no Electionโ€ tutapigisha KURA KILAZIMA.

Hapana aisee lazima tufike mwisho kwenye hili. Hawa VIBAKA waende likizo. Dawa ni
SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger) (@ikindakani11826) 's Twitter Profile Photo

Hii nchi nilikuwa naipenda tangu nizaliwe hadi 2014. Saizi naona bora walioko Congo, Tanzania ujinga mwingi sana kwakweli ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Hii nchi nilikuwa naipenda tangu nizaliwe hadi 2014.
Saizi naona bora walioko Congo, Tanzania ujinga mwingi sana kwakweli ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡