Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile
Msichana Initiative

@msichanauwezo

2024 Annual Impact Report 👇👇👇

ID: 4392254295

linkhttps://msichana.or.tz/annual-reports/ calendar_today06-12-2015 09:06:30

8,8K Tweet

13,13K Followers

131 Following

Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Celebrating the strength, love, and care of every mother today and every day. Happy Mother’s Day from all of us at Msichana Initiative. #MothersDay

Celebrating the strength, love, and care of every mother today and every day. Happy Mother’s Day from all of us at Msichana Initiative.
#MothersDay
Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Ni zaidi ya miaka saba sasa tangu Mahakama Kuu itoe hukumu dhidi ya mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18. Ni wakati sasa sheria hii ifanyiwe marekebisho ili kulinda haki na mustakabali wa watoto wetu. #SheriaYaNdoa

Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Wasichana wa Fukayose wametupa sababu ya kuamini zaidi katika nguvu ya ndoto kubwa. Kupitia One Girl +, tumezua moto wa kujiamini, kujitambua na kusonga mbele bila woga. Dunia inahitaji sauti zao na safari yao ndiyo kwanza inaanza. #OneGirlPlus

Tukiwa kwenye mwezi wa hedhi salama tunakukaribisha katika ukurasa wetu wa Youtube kutazama makala hii fupi ya sauti na picha iliyobeba maoni ya wasichana kuhusu suala la #pedibure #pedibilakodi Bonyeza link hapo chini kutazama youtu.be/3AZbIUQvcp4?si…

Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Gharama za pedi zinaweza kuwa ni kikwazo kikubwa kwa wasichana hasa katika mahudhurio shuleni. Na ikiwabidi sana, hutumia njia ambazo sio salama za kujistiri wakati wa hedhi. Unaweza soma zaidi kuhusu changamoto wanazopitia wasichana kupitia link hii msichana.or.tz/advocacy-evide…

Gharama za pedi zinaweza kuwa ni  kikwazo kikubwa kwa wasichana hasa katika mahudhurio shuleni. Na ikiwabidi sana,  hutumia njia  ambazo sio salama za kujistiri wakati wa hedhi. 

Unaweza soma zaidi kuhusu changamoto wanazopitia wasichana kupitia link hii msichana.or.tz/advocacy-evide…
Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Tulijivunia kuwakaribisha Malala Fund Kongwa, kushuhudia safari ya matumaini na mabadiliko kwa wasichana wanaorejea shuleni. Ushirikiano huu unaleta nguvu mpya kwa harakati za haki na elimu kwa msichana. #ArudiShule

Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea #WorldMenstrualHygieneDay, tunaitaka Serikali ichukue hatua! Wasichana wanahitaji pedi salama, bure na bila kodi kwa sababu hedhi haipaswi kuwa kikwazo cha kufikia ndoto zao. 🩸#PediBure #PediBilaKodi #NoMoreLimits

Kuelekea #WorldMenstrualHygieneDay, tunaitaka Serikali ichukue hatua!
Wasichana wanahitaji pedi salama, bure na bila kodi kwa sababu hedhi haipaswi kuwa kikwazo cha kufikia ndoto zao.
🩸#PediBure #PediBilaKodi #NoMoreLimits
Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Head over to our YouTube page to hear powerful voices of girls speaking out on #PediBure and #PediBilaKodi! Don’t forget to subscribe!

Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

In our recent One Girl Plus activity, we saw girls show strength, resilience & leadership. From bold discussions to life changing skills this is real impact. 🎥 Watch the full video on our youtube page to see how these girls are shaping a better future! #OneGirlPlus

Msichana Initiative (@msichanauwezo) 's Twitter Profile Photo

Smiles of determination and hope! Through the Arudi Shule Program, these girls have returned to school, empowered with books, confidence, and a renewed dream for a brighter future. #ArudiShule

Smiles of determination and hope! Through the Arudi Shule Program, these girls have returned to school, empowered with books, confidence, and a renewed dream for a brighter future. #ArudiShule